Ripoti Maalum · July 9, 2026 10:16 am
Wazazi wa watoto wenye changamoto za viungo walia na gharama, ucheleweshaji wa huduma.
Currencies · July 9, 2026 9:21 am
Shilingi imeonyesha mabadiliko mseto huku dola ya Marekani ikibaki kwenye kiwango kilekile katika benki za CRDB na NMB.
Currencies · July 8, 2026 9:49 am
Hii inaonyesha ongezeko la senti 4 katika viwango vyote vya kununua na kuuza.
Habari · July 7, 2026 1:31 pm
Sehemu kubwa ya barabara jijini Dar es Salaam zina msongamano mdogo huku ulinzi ukiimarishwa kwenye makutano ya barabara kuu.
Biashara · July 4, 2026 3:18 pm
Ni sawa na asilimia 105.24 ya lengo kulinganisha na lengo la Sh36.07 lililokusudiwa kukusanywa.
Biashara · July 3, 2026 1:09 pm
Kiwango kipya kilichopangwa na MPC ni cha juu tangu mfumo mpya wa kudhibiti mfumuko wa bei uanze kutumika zaidi ya miaka miwili iliyopita.
Afya & Maisha · July 2, 2026 4:19 pm
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekataa kipengele cha kubadilisha sampuli za magonjwa ikieleza kuwa itajenga uwezo huo ndani ya nchi.
Debunking stories · July 1, 2026 5:19 pm
Nukta Fakti yabaini dosari katika barua ikiwemo muundo wa kiutawala, jina na sahihi ya kiongozi mwenye thamana pamoja na ukakasi kwenye sababu za kuongezwa kwa likizo.
Currencies · July 1, 2026 8:32 am
Wafanyabiashara watalazimika kutoboa mifuko zaidi mwanzoni mwa mwezi Julai kulinganisha na mwezi mwanzoni mwa Juni.
Biashara · July 1, 2026 7:13 am
Bei za mafuta katika soko la hapa nchini zinashuka kwa Shilingi 96 kwa lita ya petroli, Shilingi 151 kwa lita ya dizeli na Shilingi 242 kwa lita ya mafuta ya taa
Biashara · June 30, 2026 4:38 pm
Angalia hali ya kipato chako, usikope kufanya anasa, nidhamu ya fedha ni muhimu. Mkopo wenye riba nafuu na unaorejeshwa kwa muda mrefu ndio rafiki.
News · June 30, 2026 3:09 pm
Mchechu amesema utegemezi wa taasisi zisizo za biashara umeendelea kupungua kwa asilimia 12.8, hatua inayoonyesha kuimarika kwa ufanisi na usimamizi wa taasisi hizo.
Biashara · June 29, 2026 2:35 pm
Ukiwa na kiasi kidogo cha sarafu hizo unaweza kupata Dola nyingi zaidi.
Biashara · June 27, 2026 1:04 pm
Matumizi yakizidi hudhoofisha nguvu ya ununuzi kwa shilingi na kuchochea mfumuko wa bei katika uchumi wa nchi
News · June 26, 2026 2:27 pm
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi asema lengo la uamuzi huo ni kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi