CAG : Wagonjwa wa afya akili hawatambuliwi Tanzania

Asema Wizara ya Afya nchini Tanzania ilikuwa na mapungufu katika kuwabaini wagonjwa hao mwaka 2022/2023.

ATCL yapata hasara ya Sh56.6 bilioni mwaka 2022-23

Hasara yaongezeka kwa asilimia 61 licha ya ruzuku ya Sh31.5 bilioni iliyotolewa.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo Machi 27, 2024

Viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotumika leo Machi 27, 2024

Meli ya MV Mwanza yaanza majaribio Ziwa Victoria

Ni jaribio la kwanza kati ya majaribio matatu yanayotakiwa kufanyika. Majaribio hayo yataifanya meli hiyo kukamilika kwa asilimia 96.

Ongezeko la ndege ATCL kufungua fursa za biashara Tanzania

Waziri Mkuu Majaliwa asema kuongezeka kwa ndege za ATCL kutaifanya Tanzania kukuza biashara ndani na nje ya nchi. Ndege ya Boeing 737 - 9 Max iliyopokelwa leo inaifanya Tanzania kuwa na jumla ya ndege 15 tangu kufufuliwa kwa ATCL mwaka 2016.

Afya & Maisha

Chati & Data

Maoni & Uchambuzi

NuktaFakti

  • Si kweli: Watu saba wapofuka macho kisa ‘Red Eyes’

    Serikali yasema vyombo vya habari vimepotosha taarifa yake. Yasema matumizi ya tiba isiyo sahihi ya ugonjwa huo ndio yanaweza kusababisha upofu. Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.

Safari