Fact Check · May 23, 2026 1:47 pm
Ufuatiliaji wa Nukta Fakti umebainisha kuwa chapisho linalosambaa halijachapishwa na Habari Maelezo na halipo kwenye kurasa rasmi za mitandao ya kijamii ya chombo hicho cha habari.
Fact Check · March 4, 2026 11:59 am
Wizara ya Afya yawataka wafanyabiashara wanaodai kutibu kwa njia ya asili kuacha kupotosha jamii, wananchi wanaaswa kutotegemea taarifa zisizothibitishwa.
Fact Check · October 14, 2025 11:58 am
TEC imesema haihusiki na maudhui yeyote yaliyopo kwenye waraka huo feki na inasisitiza waumini na watanzania kuupuuza.
Fact Check · October 6, 2025 6:13 pm
Wataalamu wa lishe wanasema kuwa hakuna ukweli wowote na badala yake tango na asali vina virutubisho muhimu kwa afya ya mwili wa binadamu.
Fact Check · August 18, 2025 3:03 pm
Nukta Fakti imefanya uchunguzi na kubaini taarifa hiyo si ya kweli na picha iliyotumika kusambaza taarifa hiyo imetumika katika muktadha tofauti ili kupotosha.
Fact Check · August 15, 2025 6:52 pm
Taarifa zinazodai kuwa Wizara ya Afya imepunguza idadi ya vipimo vya Virusi vya Ukimwi kwa wajawazito kutoka mara tano hadi mara mbili. Taarifa hizo si za kweli.
Fact Check · July 25, 2025 11:55 am
Si kweli Boni Yai amemtuhumu Maria Sarungi kumshinikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche kusaini kanuni za maadili za Uchaguzi.
Fact Check · July 22, 2025 5:20 pm
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefukuzwa uanachama na uongozi wa chama hicho.
Fact Check · July 14, 2025 4:30 pm
Picha ya screenshot inayodai kuonesha ujumbe uliotumwa kupitia akaunti rasmi ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwenye mtandao wa X (zamani Twitter).
Fact Check · July 2, 2025 1:00 pm
Taarifa hii ya upotoshaji imesambaa ikionekanama kama barua rasmi lililoandikwa na Chadema ikiwa na mhuri rasmi pamoja na sahihi ya Katibu Mkuu wa chama hicho.
Fact Check · June 10, 2025 12:11 pm
Taarifa hii ya upotoshaji imesambaa ikionekanama kama chapisho la Taarifa kwa Umma kutoka Chadema likiwa na nembo na sahihi ya Brebda Rupia.
Fact Check · May 21, 2025 6:12 pm
Habari hiyo imekuwa ikisambazwa katika majukwaa mbalimbali ya mitandaoni kama Facebook
Fact Check · May 3, 2025 4:40 pm
Waraka huo una kichwa cha habari: “WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGO NDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA KWA WEEK 10 MFULULIZO.”
Fact Check · April 8, 2025 4:42 pm
Huenda umekutana na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikidai kuwa CHADEMA imemfuta uanachama mwanachama wake John Mrema.
Fact Check · February 6, 2025 11:44 am
Si kweli kuwa Bilionea na mfanyabiashara, Mohammed Dewji amezindua sarafu mpya ya kidijitali iitwayo Tanzania Coin ($Tanzania),