Habari
Habari · September 11, 2026 4:32 pm
Kuna makundi manne tu ya watu wenye kinga kisheria zinazowapa hiari ya kuitikia au kutokuitikia wito wa Mahakama wa kwenda kutoa ushahidi.
Habari · September 10, 2026 6:03 pm
Kwa kawaida kipindi hiki huchukua kwa muda wa miezi minne na siku 10 kwa mtu aliyefiwa na mume huku kwa mjamzito ikiwa tofauti.
Habari · September 7, 2026 6:10 pm
Matukio hayo ni uzinduzi rasmi wa Mji wa Serikali Mtumba pamoja na uzinduzi wa Ramani ya Utekelezaji ya Kinara wa Umoja wa Afrika katika Afya ya Uzazi, mama, mtoto mchanga, mtoto na vijana kwa mwaka 2026–2030.
Habari · September 3, 2026 5:48 pm
Ni pamoja na Daniel Samson na Esau Ng’umbi.
Habari · September 2, 2026 4:01 pm
Awataka kuwarudisha machinga katika masoko waliyopangiwa, kutatua kero.
Biashara · August 31, 2026 7:00 pm
Ni kwa lengo la kupunguza usumbufu unaowakabili wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo.
Habari · August 29, 2026 11:51 am
Hatimaye Tanzania imepata Makamu wa Rais mpya, baada ya kuapishwa kwa Deogratius Ndejembi, leo Agosti 29, 2026 ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Habari · August 27, 2026 6:12 pm
Mwenyekiti wa UVCCM, Mohamed Kawaida ameiambia Nukta Habari kuwa Dk Nchimbi anaweza kurejea CCM ikiwa ataiomba msamaha NEC.
Habari · August 27, 2026 4:18 pm
Ni baada ya ya TMA kutangaza ujio wa mvua kubwa za El Niño kuanzia Septemba hadi Januari, 2027.
Habari · August 27, 2026 2:58 pm
Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) anasema kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, Ibara ya 47, mtu hawezi kuwa kiongozi yeyote wa kisiasa kama hatoki kwenye chama cha siasa.
Habari · August 27, 2026 2:08 pm
Kwa mujibu wa katiba ya CCM ya mwaka 1977, Toleo la Desemba 2022 kuna tofauti kati ya kufutwa uanachama na kufukuzwa uanachama.
Habari · August 27, 2026 2:02 pm
Anasubiri hatua muhimu ya kikatiba ya kupitishwa na Bunge ili ashike nafasi hiyo ya juu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Habari · August 26, 2026 11:40 pm
Ni baada ya takribani saa 26 tangu Rais Samia aridhie kujiuzulu kwa Dk Nchimbi ambaye pia amefutwa uanachama wa CCM kuanzia leo Agosti 26, 2026.
Habari · August 26, 2026 7:39 pm
Stahiki hizo ni kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu Katika Utumishi wa Kisiasa, (Sura ya 225).
Habari · August 26, 2026 4:29 pm
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, Ibara ya 50(4), inasema iwapo nafasi ya Makamu wa Rais itakuwa wazi kwa sababu ya kifo ama kujiuzulu, Rais anatakiwa kumteua mtu mwingine kushika hiyo ndani ya siku 14.