Fact Check · December 10, 2024 9:04 am
Dar es Salaam. Ni kawaida kukuta makundi ya watu yakiwa yamezunguka vibanda vya wauza supu na nyama ya pweza pamoja na aina nyingine za samaki katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam hususan muda wa jioni. Kwa wakati huu si vijana wala watu wazima utakaoweza kuwatoa kwenye msururu wa kununua supu ya pweza ambayo kwa […]
Fact Check · August 6, 2024 5:34 pm
Dar es Salaam. Joseph Richard, mkazi wa Ununio jijini Dar es Salaam alikutana na wakala wa usajili wa namba za simu kwenye daladala aliyemshawishi amsajilie laini ya simu kwa haraka. Kama ilivyo ada katika kufuata usajili wa sasa, Richard aliweka alama ya kidole kwenye mashine ya wakala ili kuweza kunakili na kuthibitisha taarifa zake wakati […]
Fact Check · March 6, 2023 9:10 am
Ni pamoja na chanjo kutokuwa salama na barakoa kutofanya kazi.
Fact Check · March 2, 2023 2:22 pm
Licha ya juhudi za kimataifa kupambana na Uviko-19 ikiwemo kutoa chanjo, Marekani imekuwa kinara wa maamnukizi ya viwango vya juu vya ugonjwa huo.
Fact Check · February 28, 2023 6:41 am
Visa vya maambukizi vyafikia milioni 757.2 huku watu milioni 6.8 wakipoteza maisha kutokana na ugonjwa huo duniani kote.
Fact Check · February 25, 2023 11:44 am
Yasema kuchukua hatua madhubuti ndiyo inawezekana kutoa hakikisho kwamba maendeleo ya teknolojia hayakwamishi haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na demokrasia.
Fact Check · February 17, 2023 5:32 am
Kabla chanjo haijaidhinishwa kutumika kwa binadamu hufanyiwa kwanza majaribio kwa wanyama katika kliniki maalum za majaribio. Baada ya hapo hufanyika majaribio mengine matatu kwa binadamu kwa ajili ya kuangalia ufanisi na usalama wa chanjo husika.
Fact Check · February 12, 2023 10:25 am
Watu zaidi ya 300 waambukizwa Uviko-19 ndani ya mwezi mmoja na nusu huku mmoja akifariki dunia.
Wataalamu wa afya wasisitiza watu wote kupata dozi kamili ya chanjo ya ugonjwa huo.
Fact Check · February 8, 2023 10:46 am
Ni dozi ya ziada au dozi za chanjo ambazo hutolewa kwa mtu ambaye tayari amepata chanjo ya Uviko-19 na ulinzi wake umeanza kupungua.
Fact Check · February 3, 2023 11:13 am
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vifaa hivyo ni afua muhimu ya kujikinga na ugonjwa huo hasa katika maeneo ya umma ambayo watu hulazimika kushika vitu kama milango.