Chati & Data
Chati & Data · February 1, 2025 11:41 am
Ueneaji wa vifaa hivyo umeongezeka kwa asilimia 2.8 ndani ya kipindi cha miezi mitatu iliyopita
Chati & Data · October 25, 2024 5:09 pm
Takwimu za mawasiliano za robo ya mwaka unaoishia Septemba 2024 zinazotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinabainisha kuwa idadi ya ujumbe mfupi wa maneno uliotumwa ndani ya nchi ni bilioni 47.6.
Agriculture · August 13, 2024 1:03 pm
Gunia la kilo 100 la ulezi linauzwa kwa bei ya juu katika mkoa wa Mbeya kwa Sh250,000, karibia mara 4 ya bei ya chini iliyorekodiwa Ruvuma ambayo ni Sh60,000 tu.
Chati & Data · July 9, 2024 1:47 pm
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City mall jijini Mwanza.
Chati & Data · July 2, 2024 2:57 pm
Mwenendo wa viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kati ya Juni na Julai 2024
Chati & Data · January 27, 2023 7:25 am
Idadi ya wanaotumia miguu kama nyenzo ya usafiri imeongezeka kwa asilimia 0.6.
Ni kwa mujibu wa Utafiti wa Hali ya Kaya Tanzania (NPS) ya mwaka 2020-21.