Biashara

Biashara · October 10, 2026 11:25 am

Urasa Sarakikya ateuliwa Kaimu Mkurugenzi TSL

TSL ni kampuni inayojishughulisha na udalali wa dhamana za kifedha, ushauri wa uwekezaji na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja. 

Biashara · October 9, 2026 5:19 pm

Mauzo ya parachichi nje ya nchi yapaa kwa 236%

Mwaka 2020/2021, Tanzania iliuza nje tani 15,432.77 za parachichi, kabla ya kiasi hicho kuongezeka hadi tani 52,000 mwaka 2025/2026.

Biashara · October 9, 2026 2:28 pm

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni 

Dhahabu hiyo iliuzwa kwa bei ya takribani Dola za Marekani 4,640 kwa wakia moja.

Biashara · October 8, 2026 5:58 pm

Mfumuko wa bei wasalia 4.3%, usafiri bado pasua kichwa

Usafiri umeendelea kuwa eneo lenye ongezeko kubwa zaidi la bei kwa mwaka, ambapo mfumuko wake ulifikia ongezeko la asilimia 14.0 Septemba 2026, kulinganisha fahirisi ya Septemba 2025. 

Biashara · October 8, 2026 3:16 pm

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei 

Uamuzi huo umezingatia athari zinazoendelea ikiwemo vita vya  Mashariki ya Kati na hatari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Niño.

Biashara · October 8, 2026 8:10 am

Ripoti: 46% ya  wanawake Tanzania wakabiliwa na vikwazo vya kiuchumi 

Sababu zikiwa ni kujikita zaidi katika shughuli zenye tija ndogo na upatikanaji mdogo wa mitaji.

Biashara · October 3, 2026 3:17 pm

 Louis Favot bosi mpya Mixx Tanzania 

Favot anachukua mikoba ya Angelica Pesha ambaye amekuwa ndani ya kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka 15 na kuhudumu kama CEO kwa miaka 6 tangu 2020.

Biashara · October 2, 2026 3:34 pm

Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania kukua 6.1% 2026

Ukuaji huo wa uchumi kwa sehemu kubwa unategemea kuimarika kwa sekta binafsi na maboresho ya mazingira ya ufanyaji biashara.

Biashara · October 2, 2026 12:29 pm

BoT yarudisha mjadala, ukomo miaka 10 kwa mabosi wa benki, taasisi za fedha 

Kwa sasa, BoT bado haijafanya rasimu hiyo kuwa kanuni mpya. Imeiweka wazi kwa ajili ya maoni ya umma, huku tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maoni ikiwa Oktoba 28, 2026.

Biashara · September 16, 2026 4:19 pm

NMB, CRDB zatoboa orodha ya benki 500 Forbes

Katika kundi la Tier 6, linalojumuisha benki zenye mali kati ya Dola bilioni 3 na 10 za Marekani, NMB imechukua nafasi ya tisa, huku CRDB ikiwa ya 41. 

Biashara · September 16, 2026 3:39 pm

World Bank Group yamteua Mary-Jean Moyo kuongoza IFC mataifa sita

Ni pamoja na Tanzania, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Malawi, Zambia na Zimbabwe.

Biashara · September 14, 2026 10:11 am

Dangote afungua milango umiliki kiwanda cha mafuta, hisa kuanzia Sh10,508 

Mwekezaji anaweza kuanza kununua hisa 10 kwa gharama ya naira 5,250 ambayo ni karibu Sh10,508, uuzaji wa hisa hizo ukitarajiwa kuanza Septemba 14 na kufungwa Oktoba 13, 2026 katika Soko la Hisa la Nigeria (NGX).

Biashara · September 11, 2026 4:08 pm

Mfumuko wa bei wapaa kwa asilimia 0.1 Agosti 

Kuanzia Agosti 2023 kurudi nyuma kiwango hicho kilipaa hadi kufikia asilimia 4.9 Oktoba, 2022.

Biashara · September 9, 2026 12:53 pm

ESG: Vodacom Tanzania yapunguza 24% ya hewa chafu

Sehemu ya mafanikio hayo imetokana na kubadilisha vifaa vya zamani vya mawasiliano ya redio katika maeneo 1,808 ndani ya miezi saba.

Biashara · September 5, 2026 11:27 am

Africa Agri Expo 2026 yafungua dirisha, masoko ya kimataifa kwa wakulima Tanzania

Ni kwa mara ya kwanza maonyesho hayo yanafanyika Tanzania yakiwakutanisha wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, kujifunza kuhusu teknolojia mpya, bidhaa, huduma, masoko na fursa za biashara katika sekta hiyo. 

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

Nukta TV

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

Nukta TV

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV