Maujanja · December 4, 2025 1:11 pm
Ili kuhakikisha virutubisho hivi vinadumu kwa muda mrefu na katika ubora unaostahili ni muhimu kufuata taratibu madhubuti za kukusanya, kusafisha na kukausha majani haya.
Maujanja · November 27, 2025 5:57 pm
Unga huu wa lishe unaweza kutumika kwa ajili ya watoto na familia lakini pia unaweza kutumika kama fursa ya biashara.
Maujanja · November 26, 2025 6:30 pm
Ni pamoja na kuepuka kuviweka karibu na kuta za nyumba au kubebanisha vitunguu wakati wa kuhifadhi.
Maujanja · September 18, 2025 2:31 pm
Ni pamoja na muda unaotumika kupikia na aina za vyakula vinavyopikwa katika vifaa hivyo.
Maujanja · September 9, 2025 6:33 pm
Kashata ni kitafunwa kitamu kinachotengenezwa kwa sukari na kuchanganywa na nazi, karanga au ufuta.
Maujanja · July 1, 2025 4:14 pm
Unaponunua pressure cooker ya chapa ya WestPoint kutoka jikosokoni.co.tz, unakuwa umechagua kifaa halisi, chenye ubora wa hali ya juu na kinachodumu kwa muda mrefu.
Maujanja · June 17, 2025 4:12 pm
Kama unataka njia rahisi na ya haraka ya kupika chakula, basi jiko la umeme lenye presha (Pressure Cooker) ndio suluhisho.
Maujanja · June 13, 2025 4:37 pm
Ni pamoja kuepuka makosa ya kutumia sabuni au brashi zisizofaa ambazo huathiri utendaji wa pressure cooker
Maujanja · June 5, 2025 4:11 pm
Baada ya kupika chakula, iache pressure cooker ipoe kwa kufungua valvu na mfuniko ili kutoa joto. Baada ya hapo, hifadhi sehemu salama.
Maujanja · May 20, 2025 5:13 pm
Soma maoni na tathmini za wateja mtandaoni kuhusu aina ya kifaa kabla ya kununua.
Maujanja · March 14, 2025 9:04 am
Ni pamoja na kuepuka kuweka sehemu za baridi ama kwenye jokofu.
Maujanja · February 11, 2025 7:04 pm
Kutengeneza keki ni sanaa inayohitaji ustadi, uvumilivu na zaidi ya yote vifaa sahihi ili kuandaa keki nzuri yenye vipimo sahihi itakayovutia walaji Ukizungumza na wapishi wengi wazoefu ni lazima watakwambia kuwa siri ya upishi wa keki ni vipimo sahihi pamoja na vifaa bora hivyo ikiwa wewe ni mwanafunzi au mpishi mpya wa keki vifaa vifuatavyo […]
Maujanja · January 17, 2025 12:10 pm
Jiko point imekuandalia hatua tatu muhimu zitakazokuwezesha kusafisha oveni yako bila ‘stress’ huku ikuweka mbali na harufu inayoweza kusababishwa na uchafu wa kifaa hicho.
Maujanja · January 15, 2025 4:35 pm
Ndizi zilioziva zinaweza kutengeneza ice cream tamu ikiwa utachangamya na mahitaji mengine ikiwemo vanila na maziwa.
Maujanja · January 8, 2025 5:13 pm
Ukijua kutumia kisu na uma , hata ukitoka katika mitoko mikubwa utaendelea kujihis mwenye heshima na jasiri.