Fuel Price
Fuel Price · September 3, 2025 9:57 am
Arusha. Kwa watumiaji wa mafuta ya petroli na dizeli huenda wakauanza mwezi Septemba kwa kicheko baada ya bei ya nishati hiyo kushuka kwa sh26 na Sh23 kwa lita mtawalia. Ahueni hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja baada ya dizeli kupaa kiduchu kwa kwa Sh 10 hali iliyofanya watumiaji kutoboa mifuko yao kujipatia bidhaa hiyo. Taarifa […]
Fuel Price · September 4, 2024 1:17 am
bei ya rejareja ya petroli iliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa Sh91 ambapo lita moja sasa inauzwa Sh3,140.