Nukta Fakti
All
Debunking Stories
Education Stories
Infographics

Fact Check · February 14, 2025 5:50 pm

Bosi Nukta Africa atoa mbinu matumizi ya AI kukabiliana na habari feki 

Kuna ongezeko kubwa la maudhui ya kupotosha yanayozalishwa kwa kutumia akili unde ambapo na baadhi ya vyombo vya habari huyatumia pasi na uhakiki.

Fact Check · February 6, 2025 11:44 am

Si kweli: Mohammed Dewji amezindua sarafu mpya ya kidijitali Tanzania

Si kweli kuwa Bilionea na mfanyabiashara, Mohammed Dewji amezindua sarafu mpya ya kidijitali iitwayo Tanzania Coin ($Tanzania),

Fact Check · February 4, 2025 6:49 pm

Si kweli: Wizara ya Afya imetangaza bei mpya ya dawa za ARV

Uchunguzi uliofanywa na Nukta Fakti wabaini kuendelea kutolewa kwa dawa hizo kupitia mfuko wa  PEPFAR.

Fact Check · January 16, 2025 3:11 pm

Ukweli kuhusu nanasi kutoa mimba 

Wataalamu wa afya wasema hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ulaji wa nanasi na kuharibika kwa mimba.

Fact Check · December 10, 2024 9:09 am

Si kweli: Vaseline na kitunguu maji vinaongeza makalio

Katika baadhi ya tamaduni wanawake wenye makalio makubwa hutafsiriwa kama warembo zaidi, hali hiyo imesababisha kuwepo na msukumo wa baadhi ya wanawake kutaka kuongeza maumbile yao ili kuongeza mvuto. Msukumo huo umesababisha kuenea kwa taarifa potofu zinazoelezea mbinu za kuongeza makalio ambazo baada ya uchambuzi wa kina zimebainika kuwa si kweli. Mathalani, hivi karibuni kumekuwa […]

Fact Check · December 10, 2024 9:04 am

Ukweli kuhusu supu ya pweza kuongeza nguvu za kiume

Dar es Salaam. Ni kawaida kukuta makundi ya watu yakiwa yamezunguka vibanda vya wauza supu na nyama ya pweza pamoja na aina nyingine za samaki katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam hususan muda wa jioni. Kwa wakati huu si vijana wala watu wazima utakaoweza kuwatoa kwenye msururu wa kununua supu ya pweza ambayo kwa […]

Fact Check · August 10, 2024 1:44 pm

Si kweli: Maganda ya ndizi yanang’arisha meno

Huenda umewahi kukutana na taarifa nyingi kuhusiana na njia mbalimbali za kung’arisha meno au kuyafanya yawe meupe kwa kutumia viungo, chakula au matunda. Kwa muda mrefu imekuwa ikiaminika kuwa maganda ya ndizi yanaweza kusaidia kung’arisha meno ambapo wasambazaji wa taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii hususan Tiktok na Youtube  ambapo katika moja ya video muandaaji […]

Fact Check · August 6, 2024 5:34 pm

Alama za vidole zinavyotumika kusajili laini kinyemela

Dar es Salaam. Joseph Richard, mkazi wa Ununio jijini Dar es Salaam alikutana na wakala wa usajili wa namba za simu kwenye daladala aliyemshawishi amsajilie laini ya simu kwa haraka.  Kama ilivyo ada katika kufuata usajili wa sasa, Richard aliweka alama ya kidole kwenye mashine ya wakala ili kuweza kunakili na kuthibitisha taarifa zake wakati […]

Fact Check · July 30, 2024 4:50 am

Si kweli: Vidonge vya Paracetamol P 500 vina virusi vya Machupo

TMDA yakanusha uwezekano wa virusi kukaa kwenye dawa
Yawataka wananchi kujenga utaratibu wa kupata taarifa kwenye vyanzo sahihi kabla ya kusambaza.

Fact Check · July 26, 2024 4:36 am

Ukweli kuhusu video ya utekaji watoto Dar es Salaam

Ni video ya tukio la kweli lililotokea mwaka 2022.
Tukio hilo lilitokea eneo la Bongoni katika mpaka wa Buguruni na Ilala, Dar es Salaam.

Fact Check · July 15, 2024 5:25 am

Chukua hiyo: Ndizi haziongezi maji maji (ute) ukeni

Ukavu ukeni husababishwa na mabadiliko ya vichocheo mwilini
Faida nyingine za ulaji wa ndizi ni pamoja na kuimarisha mifupa

Fact Check · July 11, 2024 9:07 am

Si kweli: video zinazoonesha mnyama wa baharini mwenye kichwa cha ng’ombe

Nukta Fakti ilifanya uchunguzi na kugundua kuwa picha hizo zimetengenezwa na kuhaririwa kwa kutumia akili ya bandia (AI).

Fact Check · July 9, 2024 1:42 pm

Sio kweli ni uzushi, Gen Z Kenya wakivuta moshi wa bomu la machozi

Utafiti uliofanywa na Nukta Fakti umeonyesha kuwa bomu hilo la machozi lilishatoa gesi yake hivyo mwandamanaji huyo aliweza kulitumia kama chombo cha kawaida.

Fact Check · July 8, 2024 7:51 am

Debunked: Kenyan MP’s did not eat in the bush following bill protest

The video was taken during the funeral of Francis Koka, the father of Silvestry Koka, a Member of Parliament in Tanzania.

One among the people in the video is Freeman Mbowe, a Chairperson of Democratic and Development Party (Chadema).

Fact Check · July 3, 2024 1:44 pm

Sio Kweli: Gen Z wachoma moto ndege ya Rais wa kenya

Ndege iliyochomwa ilikuwa ikitumika kama mgahawa katika bustani ya Uhuru.
Eneo ilipo ndege hiyo ni katikati ya mji na si sehemu ya ndege kutua.

Enable Notifications OK No thanks