Uncategorized

Currencies · June 22, 2026 9:47 am

Rupia ya India, Shilingi ya kenya yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania Juni 22

Rupia ya India, Shilingi ya kenya zimeonyesha kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Juni 22, 2026 ikilinganishwa na viwango vya Alhamisi, Juni 18, 2026, huku sarafu kubwa za kimataifa zikishuka.

Habari · June 19, 2026 4:59 pm

HESLB yafungua dirisha la maombi ya mikopo 2026/2027

Waombaji wanatakiwa kuwasilisha maombi ndani ya siku 73 kabla ya Agosti 31, 2026.

Uncategorized · June 11, 2026 4:49 pm

Serikali yapendekeza kuondoa VAT nguo za pamba ya Tanzania

Hatua hiyo inatarajiwa kulinda viwanda vya ndani.

Afya & Maisha · June 8, 2026 5:18 pm

Fahamu madhara ya kutumia dawa hovyo wakati wa ujauzito

Hali hii humfanya mama kuwa katika hatari ya kupata baadhi ya magonjwa kama ilivyo kwa watu wengine.

News · May 4, 2026 3:27 pm

Wizara ya Habari yaomba kuidhinishiwa bajeti ya Sh525.32 bilioni mwaka wa fedha 2026/27

Wizara pia imejipanga kuratibu na kusimamia matamasha, shughuli na matukio makubwa ya kitaifa na kimataifa yanayohusiana na habari, utamaduni, sanaa na michezo.

Habari · March 12, 2026 4:49 pm

Mapendekezo ya tume kudhibiti matumizi mseto ya ardhi Ngorongoro

Tume ya Rais ya kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro imetoa mapendekezo ya taratibu na sheria zitakazodhibiti matumizi mseto ya ardhi katika eneo hilo

Currencies · February 2, 2026 10:58 am

Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Februari 2, 2026

Fedha nyingine kutoka mataifa mengine duniani zimeendelea kuimarika au kushuka kama inavyoonekana ikiashiria mabadiliko ya nguvu ya Shilingi ya Tanzania.

Habari · January 19, 2026 7:47 pm

Mambo matatu yanayomsubiri Museveni Uganda

Nukta habari imefanya uchambuzi wa mambo matatu yanayomsubiri kiongozi huyo ikiwa ataapishwa rasmi na kuwa Rais wa Uganda.

Safari · January 12, 2026 1:34 pm

Tanzania kinara idadi ya Simba Afrika

Shirika la World Population Review limeitaja Tanzania kuwa na simba 14,500 idadi inayoifanya kuwa kinara wa idadi kubwa ya Simba barani Afrika.

News · December 12, 2025 12:40 pm

Jenista kuzikwa Desemba 16, mkoani Ruvuma

Ratiba ya Bunge yaonesha mwili wa marehemu utawasili Itega, Dodoma Desemba 12, 2025 na maombolezo ya msiba yataendelea nyumbani.

Habari · November 17, 2025 6:54 pm

Wafahamu wabunge 8 waliotemwa katika baraza la mawaziri Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri watakaoratibu shughuli za Serikali katika miaka mitano ijayo akiwatema mawaziri nane waliohudumu katika baraza la mawaziri lililopita. Rais Samia ametangaza majina hayo ya baraza jipya leo Novemba 17, 2025 alipokuwa akizungumza na wanahabari Chamwino Dodoma ikiwa ni muendelezo wa kupanga safu mpya ya awamu ya pili […]

Habari · October 27, 2025 4:34 pm

Safari ya wanawake kugombea urais inavyoimarika Tanzania

Uchaguzi wa mwaka huu wa 2025, wamejitokeza watatu wakivunja rekodi tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe 1992.

Uncategorized · October 24, 2025 3:05 pm

INEC yatangaza ratiba mpya uchaguzi udiwani Kata za Mindu, Mzinga, Kirua

Tume imefafanua kuwa uteuzi mpya hautahusisha mgombea mwingine yeyote aliyeteuliwa kihalali katika uteuzi uliofanyika awali.

News · October 15, 2025 3:47 pm

Mpina akwama mahakamani, ndoto za Urais 2025 zayeyuka

Ni baada ya Mahakama Kuu kuondoa shauri kwa kukubali hoja za upande wa Serikali kuhusu uwezo wa Mahakama kusikiliza mashauri yanayohusiana na maamuzi ya INEC.

News · September 24, 2025 2:55 pm

Serikali yaingilia kati sakata la mjane kutupiwa vitu nje Dar

Siku moja tangu kuripotiwa tukio la mjane aliyefukuzwa kwenye nyumba anayodai ni ya mume wake, Serikali imeunda tume ya wataalamu kuchunguza madai hayo ili haki itendeke.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Ulinzi waimarishwa Dar, maduka yachelewa kufunguliwa

Ulinzi waimarishwa Dar, maduka yachelewa kufunguliwa

Nukta TV

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV