Masoko

Masoko · January 8, 2025 12:18 pm

Choroko, dengu, mbaazi, soya, ufuta sasa kuuzwa kidijitali 

Copra imesema kuanzia Januari 2025, baadhi ya mazao jamii ya mikunde ikiwemo choroko, mbaazi, soya, ufuta pamoja na dengu yataanza kuuzwa kwa minada ya kidijitali.

Masoko · November 13, 2024 5:14 pm

Bei ya ulezi yapaa mkoani Pwani

Bei ya gunia la kilo 100 yapaa mkoani Pwani.

Masoko · October 28, 2024 6:07 pm

Dar es Salaam waendelea kufurahia bei ya mahindi

Kununua gunia la mahindi la kilo 100 mkoani Dar es Salaam itakulazimu kulipia Sh50,000 ambayo ni mara 2 zaidi ya bei ya juu iliyorekodiwa mkoani Tanga ya Sh120,000 kwa gunia la kilo 100.

Masoko · October 21, 2024 6:39 pm

Ruvuma,Iringa kicheko bei ya Mahindi

Kununua gunia la mahindi la kilo 100 mkoani Ruvuma na Iringa itakulazimu kulipia Sh48,000 ambayo ni mara 20 zaidi ya bei ya juu iliyorekodiwa mkoani Dar es Salaam, Kilimanjaro na Pwani ya Sh100,000 kwa gunia la kilo 100.

Masoko · October 11, 2024 4:19 pm

Bei ya ngano kitendawili mkoani Lindi

Kununua gunia la ngano la kilo 100 mkoani Lindi itakulazimu kulipa Sh400,000 ikiwa ndiyo bei ya juu zaidi kurekodiwa nchini Oktoba mwaka huu.

Biashara · September 13, 2024 7:31 pm

Ngano bei juu mkoani Lindi

Bei ya ngano Rukwa leo ni mara tano chini zaidi ya ile iliyotumika mkoani Lindi ya Sh400,000 kwa gunia la kilo 100 la bidhaa hiyo muhimu katika kuandaa vitafunwa kama maandazi, chapati, sambusa na mikate. Wakati Rukwa wakilia na ngano, wakazi wa Songwe wameendelea kuneemeka na mahindi baada ya zao hilo kuuzwa kwa Sh41,600 kwa […]

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi kupima afya, kuacha uoga

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi kupima afya, kuacha uoga

Nukta TV

Uwepo wa vifaa, madaktari uendane na huduma inayotakiwa

Uwepo wa vifaa, madaktari uendane na huduma inayotakiwa

Nukta TV

Rais Samia: Maradhi ya moyo, saratani kwa watoto yaongezeka Tanzania

Rais Samia: Maradhi ya moyo, saratani kwa watoto yaongezeka Tanzania

Nukta TV