News
News · October 17, 2026 2:40 pm
Hii ni kwa mujibu wa Kanuni za Kimataifa za Afya (2005), zilizorekebishwa mwaka 2024, na Sheria ya Afya ya Umma ya 2009.
News · October 10, 2026 6:00 pm
Vyuo hivyo ni pamoja na Chuo Kikuu cha Tokyo, Tsukuba, APU, Tohoku na Nagoya vilivyopo nchini Japan.
News · October 2, 2026 9:10 pm
Ni kutokana na tahadhari ya mvua za Elnino zilizotabiriwa kuanza Oktoba hadi Desemba, 2026.
News · September 29, 2026 9:53 pm
Waziri Katambi aliwasili katika stendi hiyo kusikiliza malalamiko ya madereva hao na kutoa maagizo ya Serikali yaliowapoza machungu.
News · September 24, 2026 6:44 pm
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeendelea leo Septemba 24, 2026
News · September 24, 2026 5:29 pm
Mbali na ngoma za asili, mashindano hayo pia yataipaisha lugha ya kiswahili kupitia wimbo maalum wa mashindano hayo kisha kutafsiriwa kiswahili.
News · September 23, 2026 6:12 pm
UNICEF inafafanua kuwa watoto bilioni 1.1 wengine wanakabiliwa na angalau hatari tatu.
News · September 22, 2026 2:25 pm
Mama Fatma, ambaye jina lake kamili ni Fatma Gullam Hussein Jamal, alizaliwa Februari 2,1929 Bumbwini Misufini, Kaskazini Unguja.
News · September 18, 2026 2:55 pm
Baada ya mashahidi hao kukataa kumtetea, Lissu amefunga ushahidi akiiomba kufanya hitimisho la hoja za pande zote mbili Septemba 23, 2026, ombi lililokubaliwa na mahakama.
News · September 7, 2026 6:55 pm
Mwenza wa kwanza wa Rais aliyefariki wakati Rais akiwa bado madarakani tangu uhuru.
News · September 1, 2026 2:07 pm
Desemba 12, 2024, Nukta Habari ilichapisha makala maalum iliyoelezea uhaba wa watalaamu wa ganzi na usingizi.
News · August 31, 2026 3:59 pm
Sheria ya Ardhi, Sura ya 113, inaeleza wawekezaji raia wa kigeni hupata ardhi kwa ajili ya uwekezaji kupitia utaratibu maalumu unaotambuliwa kisheria.
News · August 28, 2026 1:13 pm
Ndejembi amepata kura 324 kati ya ya kura 324 za wabunge zilizopigwa, sawa na asilimia 100 ya kura zote.
News · August 22, 2026 4:20 pm
Baada ya Ujerumani kushindwa vita na Waingereza kuchukua utawala wa Tanganyika, wazo la kutumia Mto Rufiji kwa maendeleo liliendelea kufanyiwa tafiti
News · August 21, 2026 6:19 pm
Kamanda Lutumo amesema, chanzo cha kifo cha Chisumo bado hakijathibitishwa, kutokana na kuendelea kwa uchunguzi wa kitabibu.