Nukta Fakti
All
Debunking Stories
Education Stories
Infographics

Fact Check · April 12, 2023 2:35 pm

Usichukulie poa, Uviko-19 bado upo Tanzania

Zaidi ya watu 42,000 wameambukizwa ugonjwa huo tangu uingie mwaka 2020 huku 846 kati yao wakifariki dunia.

Fact Check · April 11, 2023 12:23 pm

Chanjo ielekezwe kwa walio hatarini kupata Uviko-19

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeendelea kusisitiza kuwa chanjo dhidi ya Uviko-19 ielekezwe katika maeneo yenye hatari kubwa ya kupata ugonjwa huo ili kuokoa maisha watu.

Fact Check · March 16, 2023 1:05 pm

Uviko-19 bado unaitesa dunia

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi kufikia Machi 16 mwaka huu watu milioni 6.8 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo unaosambashambulia mfumo wa hewa.

Fact Check · February 23, 2023 6:59 am

Jinsi ya kushughulika na dalili za Uviko-19 za muda mrefu

Ni kufuata tahadhari zote zinazoshauriwa na watalaam wa afya ikiwemo kupata chanjo na kunawa mikono kwa maji tiririka.

Fact Check · February 22, 2023 1:55 pm

Fanya haya kulinda afya ya akili wakati wa janga la Uviko-19

Ni pamoja na kupunguza matumizi ya pombe na kupata taarifa sahihi, kuupa mwili shughuli kwa ratiba maalumu.

Fact Check · February 20, 2023 6:27 am

Haya ndiyo maeneo utakayokutana na uzushi mwingi mtandaoni

Wanaotengeneza habari za uzushi na kusambaza mtandaoni hutumia suala la afya kuwaletea watu madhara ikiwemo utapeli.

Fact Check · February 19, 2023 5:49 am

Athari za muda mrefu za Uviko-19 kwa watoto

Baadhi ya watu wanapata matatizo ya afya ya muda mrefu baada ya kuugua na Uviko-19. Wakati mwingine ugonjwa huo husababisha mtu kujisikia mgonjwa kwa miezi mingi baada ya kuumwa mwanzoni.

Fact Check · February 16, 2023 8:27 am

Hali halisi ya utoaji chanjo ya Uviko-19 barani Afrika

Wahudumu wa afya wanne kati ya 10 katika nchi 23 za Afrika wamepata dozi kamili ya chanjo ya Uviko-19, jambo linalosaidia kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Fact Check · February 13, 2023 10:24 am

Uviko-19 unavyogharimu maisha ya wazee duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema idadi kubwa ya wanaofariki kwa ugonjwa huo ni watu wenye umri kuanzia miaka 60.

Fact Check · January 28, 2023 7:31 am

Uviko-19 kuendelea kuwa dharura ya afya duniani?

Jumatatu ijayo Januari 30, 2023 itakuwa ni miaka mitatu tangu ugonjwa wa Uviko-19 utangazwe kuwa dharura ya afya ya umma duniani.

Fact Check · January 27, 2023 7:24 am

Ulaji milo mitatu ya chakula bado kitendawili Tanzania

Idadi ya Watanzania wanaokula milo mitatu imeshuka kutoka asilimia 71.2 mwaka 2014/15 mpaka asilimia 63 mwaka 2020/21.

Fact Check · January 22, 2023 9:42 am

Tanzania ilivyoimarisha mapambano dhidi ya Uviko-19

Asilimia 86 ya watu wenye sifa wamepata chanjo dhidi ya ugonjwa huo hadi kufikia Disemba 31, 2022.

Fact Check · January 19, 2023 7:16 am

Nchi 10 zinazoongoza kwa maambukizi ya Uviko-19 barani Afrika

Nchi ya Afrika Kusini imeshika nafasi ya kwanza ambapo mpaka sasa watu wake milioni 4.05 wameambukizwa ugonjwa huo.

Fact Check · January 18, 2023 7:17 am

Nchi 10 zenye wakimbizi wengi Duniani

Wakati ukifurahia kuanza mwaka ukiwa karibu na familia au watu uwapendao kuna mamilioni ya watu ambao wanalazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo migogoro ya kisiasa.

Fact Check · January 10, 2023 6:09 am

Nchi 10 zinazoongoza kwa visa vingi vya Uviko-19

Nchi hizo ni pamoja na Marekani, India, Ufaransa na Ujerumani.

Enable Notifications OK No thanks