News · July 30, 2026 12:03 pm
Wakati Pemba ikiwa na ATM nane pekee, Dar es Salaam inaendelea kuwa kitovu cha huduma za ATM nchini.
Habari · July 30, 2026 11:26 am
Ni kuanzia Agosti 1, 2026, utatumika kushughulikia mizigo inayoingizwa na kutoka kupitia bandarini na mipakani.
NuktaFakti · July 30, 2026 10:29 am
Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na Nukta Fakti umebaini kuwa madai hayo hayana msingi wa kitabibu.
Currencies · July 30, 2026 8:31 am
Dola ya Marekani inanunuliwa kwa Sh2,605 na kuuzwa kwa Sh2,685 katika benki zote mbili, CRDB na NMB.
Columnists · July 29, 2026 5:18 pm
A healthy workplace culture is not about free coffee or modern offices. It is about creating an environment where people are trusted, challenged, supported, and inspired to do meaningful work.
Biashara · July 29, 2026 1:33 pm
Ikiwa gawio hilo litapitishwa itakuwa ni sawa na ongezeko la asilimia 23.8 ikilinganishwa na gawio la Sh20.20 lililotangazwa mwaka 2025.
Currencies · July 29, 2026 9:01 am
Kwa kufanya hivyo, wanaweza kudhibiti changamoto za afya ya akili kabla hazijaathiri utendaji na maisha yao kwa ujumla.
Currencies · July 29, 2026 8:43 am
Hata hivyo, leo Julai 29, 2026, kiwango cha ununuzi kimepanda hadi Sh2,605, huku kiwango cha uuzaji kikifika Sh2,685.
News · July 28, 2026 5:05 pm
Kwa mujibu wa Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Eliud Eliakimu ugonjwa huo husababishwa na aina tano za virusi aina A, B, C, D na E.
Agriculture · July 28, 2026 2:07 pm
Ni baada ya soko la mazao ya mahindi, mchele, dengu na maharage ya soya kushuka kwa asilimia 70 ndani ya miaka mitano katika nchi hizo.
Mapishi · July 28, 2026 2:04 pm
Ni viazi vitamu vilivyokatwa vipande na kukaushwa ambavyo Wasukuma hutumia kama kifungua kinywa.
Mapishi · July 28, 2026 12:26 pm
“Yaani wakishua mnazingua sana! Ugali wa nazi tena? Hapa ni hasara tupu.”Sikubishana naye.
Ripoti Maalum · July 28, 2026 9:00 am
Asilimia 86.2 ya wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea nchini Tanzania wapo katika soko la ajira huku wanawake wakiwa asilimia 80.3.
Currencies · July 28, 2026 8:39 am
CRDB inanunua Dola kwa Sh2,600 na kuuza kwa Sh2,680, huku NMB nayo ikiwa na viwango hivyo hivyo vya Sh2,600 kwa ununuzi na Sh2,680 kwa uuzaji.
Infographics · July 27, 2026 2:47 pm
Kwa mtazamo wa kawaida, ATM inaweza kuonekana kama huduma rahisi kwa mteja lakini kwa benki, ATM ni moja ya miundombinu yenye gharama kubwa zaidi kuiendesha.