Euro yapanda dhidi ya Shilingi ya Tanzania, Dola yabaki tulivu

September 4, 2026 9:14 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
  • Viwango vya Euro, Yuan na Rupia ya India vimeongezeka kwa kiasi kidogo katika benki zote.

Dar es Salaam. Viwango vya ubadilishaji wa fedha katika benki za CRDB na NMB vinaonyesha mabadiliko madogo katika baadhi ya fedha za kigeni ikilinganishwa na viwango vya vilivyotumika Septemba 3, 2026.

Kwa upande wa Sarafu inayotumika na Umoja wa nchi za Ulaya (Euro), Benki ya CRDB leo inanunua kwa Sh2,922.30, kutoka Sh2,915.06 iliyotumika jana ikiwa ni sawa na ongezeko la takribani asilimia 0.25. NMB nayo imenunua kwa Sh2,925 kutoka Sh2,918 ikiwa ni ongezek la asilimia 0.24.

Hata hivyo, Dola ya Marekani haijabadilika katika benki zote mbili, ambapo inanunuliwa kwa Sh2,600 na kuuzwa kwa Sh2,680.

Kwa ujumla, viwango vya leo vinaonyesha mabadiliko madogo , huku Dola ya Marekani ikiwa imesalia katika kiwango kilekile cha jana.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
30 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
30 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Tanzania na Angola kuunganisha reli na safari za ndege

Tanzania na Angola kuunganisha reli na safari za ndege

Nukta TV

Tanzania kufungua tena ubalozi Angola, Balozi mpya kuteuliwa

Tanzania kufungua tena ubalozi Angola, Balozi mpya kuteuliwa

Nukta TV

Makonda: 28 - 30 Oktoba ni siku za kumshukuru Mungu kwa kuitunza amani ya Tanzania

Makonda: 28 - 30 Oktoba ni siku za kumshukuru Mungu kwa kuitunza amani ya Tanzania

Nukta TV