All
Afya
Afya & Maisha
Afya Na Maisha
Agriculture
Biashara
Biashara
Burudani
Chati & Data
Columnists
Commodities
Consumer Price Index
Currencies
Debunking Stories
Education
Education Stories
Fuel Price
Gender
Global Market Data
Habari
Import And Export
Infographics
Infographics
Jiko Point
Maoni & Uchambuzi
Mapishi
Masoko
Matukio
Maujanja
News
Nishati Safi
Nuktafakti
Ripoti Maalum
Safari
Safari
Tech
Teknolojia
Telecom
Telecom
Uchaguzi
Uchunguzi
Uncategorized
Vinywaji

News · September 7, 2026 6:55 pm

Huyu ndiye Hafidh Ameir, mume wa Rais Samia Suluhu

Mwenza wa kwanza wa Rais aliyefariki wakati Rais akiwa bado madarakani tangu uhuru.

Habari · September 7, 2026 6:10 pm

Matukio yaahirishwa, kifo cha mume wa Rais Samia

Matukio hayo ni uzinduzi rasmi wa Mji wa Serikali Mtumba pamoja na uzinduzi wa Ramani ya Utekelezaji ya Kinara wa Umoja wa Afrika katika Afya ya Uzazi, mama, mtoto mchanga, mtoto na vijana kwa mwaka 2026–2030.

Currencies · September 7, 2026 9:02 am

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Biashara · September 5, 2026 11:27 am

Africa Agri Expo 2026 yafungua dirisha, masoko ya kimataifa kwa wakulima Tanzania

Ni kwa mara ya kwanza maonyesho hayo yanafanyika Tanzania yakiwakutanisha wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, kujifunza kuhusu teknolojia mpya, bidhaa, huduma, masoko na fursa za biashara katika sekta hiyo. 

Biashara · September 4, 2026 4:58 pm

Himanshu Shekhar, bosi mpya SBC Tanzania

Shekhar anakalia kiti cha CEO wakati SBC Tanzania ikikabiliwa na ushindani kutoka kwa wazalishaji na wasambazaji wengine wa vinywaji, akiwemo Coca-Cola Kwanza, kampuni tanzu ya Coca-Cola Beverages Africa (CCBA).

Currencies · September 4, 2026 9:14 am

Euro yapanda dhidi ya Shilingi ya Tanzania, Dola yabaki tulivu

Viwango vya Euro, Yuan na Rupia ya India vimeongezeka kwa kiasi kidogo katika benki zote.

Habari · September 3, 2026 5:48 pm

Waandishi Nukta Africa kuwania tuzo za Samia Kalamu 2025/26

Ni pamoja na Daniel Samson na Esau Ng’umbi.

Currencies · September 3, 2026 8:31 am

Shilingi ya Tanzania yaimarika dhidi ya Dola, Pauni

Mabadiliko haya yanaonyesha umuhimu wa kulinganisha viwango vya benki kabla ya kubadilisha fedha.

Biashara · September 2, 2026 6:30 pm

Maoni mseto bei ya mafuta ikishuka miezi mitatu mfululizo Tanzania

Wananchi wasema punguzo hilo halitakuwa na matokeo yoyote kwa sababu bado nauli na gharama za maisha zipo juu.

Habari · September 2, 2026 4:01 pm

Wakuu wa mikoa wapewa rungu kuzuia machinga barabarani

Awataka kuwarudisha machinga katika masoko waliyopangiwa, kutatua kero.

Biashara · September 2, 2026 10:06 am

Ahueni: Bei ya petroli yashuka kwa Sh102, dizeli Sh101

Mabadiliko hayo yametokana na hatua mbalimbali ambazo Serikali imezichukua ili kuwa na bei himilivu za mafuta nchini.

Currencies · September 2, 2026 8:03 am

Dola yapungua nguvu dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Mabadiliko ya leo yanaonesha mwelekeo wa kushuka kwa baadhi ya sarafu za kigeni, huku Dola ikiwa na mabadiliko madogo zaidi ukilinganisha na Rand na Euro.

News · September 1, 2026 2:07 pm

Serikali yajibu uhaba wa wataalamu wa ganzi, usingizi

Desemba 12, 2024, Nukta Habari ilichapisha makala maalum iliyoelezea uhaba wa watalaamu wa ganzi na usingizi.

Currencies · September 1, 2026 9:08 am

Shilingi yaimarika dhidi ya sarafu kuu leo Septemba 1,2026

Euro na Dola ya Marekani zimeendelea kushuka dhidi ya Shilingi ya Tanzania.

Biashara · August 31, 2026 7:00 pm

TASAC yasitisha utoaji leseni za bandari kavu

Ni kwa lengo la kupunguza usumbufu unaowakabili wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwanzo, mwisho sikia wasifu wa mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir.

Mwanzo, mwisho sikia wasifu wa mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir.

Nukta TV

Viongozi wa nchi, walivyomzika mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir

Viongozi wa nchi, walivyomzika mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir

Nukta TV

Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir Hassan afariki dunia leo Septemba 07, 2026

Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir Hassan afariki dunia leo Septemba 07, 2026

Nukta TV