Currencies · August 18, 2026 9:59 am
Kwa mtu anayekwenda kununua Euro leo, NMB inauza Euro kwa Sh3,196, ambayo ni Sh24.29 chini ya CRDB inayouza kwa Sh3,220.29.
Currencies · August 17, 2026 9:34 am
Anayehitaji kununua Euro atalipa zaidi kupitia CRDB, ambako Euro moja inanunuliwa kwa Sh3,213.75, ikilinganishwa na Sh3,188 kwa NMB.
Biashara · August 15, 2026 3:41 pm
Mamilioni ya simu inamaanisha mamilioni ya ‘units’ zinazofanya kazi ndani ya uchumi wetu wa kidijitali ambapo kwamwekezaji, hilo ni soko.
Biashara · August 14, 2026 3:08 pm
Kabla ya kuteuliwa kuwa bosi wa juu wa BOA Tanzania, Yassine alikuwa ni sehemu ya uongozi wa benki hiyo akihudumu kama Naibu Mkurugenzi Mtendaji anayesimamia biashara kwa kipindi cha miaka mitano kabla ya kutangazwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa BOA Uganda mwaka 2024.
Currencies · August 14, 2026 9:14 am
Wanunuzi wa sarafu hizo wataendelea kununua sarafu hiyo kwa bei nafuu huku wauzaji wakinufaika kwa kupata kiasi kikubwa cha shilingi.
News · August 13, 2026 6:03 pm
Afisa Maendeleo ya Biashara wa Nukta Africa, amesema ushirikiano huo utasaidia kampuni kuendeleza bidhaa zake.
Maoni & Uchambuzi · August 13, 2026 2:44 pm
As I dug deeper into research, studied scientific publications and spent hours speaking with medical experts, the story began to grow.
Ripoti Maalum · August 13, 2026 11:03 am
Kuna aina kuu mbili za ugonjwa wa ‘bipolar’, kulingana na muundo wa vipindi vya mania/kichaa, hypomania na unyogovu.
Tech · August 13, 2026 10:12 am
Mtwara yavunja rekodi ya kuwa na matukio machache zaidi ikiwa na matukio 25
Currencies · August 13, 2026 8:57 am
Wanunuzi wa sarafu hizo watalazimika kutumia kiasi kikubwa zaidi cha Shilingi huku wauzaji wakipata faida zaidi.
Currencies · August 12, 2026 8:56 am
Watumiaji wa sarafu hiyo watatumia gharama nafuu kulinganisha na mwanzo wa wiki.
Currencies · August 11, 2026 9:08 am
Watumiaji wa dola wataendelea kununua na kuuza sarafu hiyo kwa bei sawa na jana katika benki za NMB na CRDB
News · August 10, 2026 3:06 pm
Ripoti hiyo imeonesha kuwa pamoja na ukuaji wa matumizi ya intaneti, usajili wa laini za simu umefikia milioni 117.
Biashara · August 10, 2026 2:31 pm
Mwekezaji yeyote asiye mkazi anaweza kushiriki katika dhamana za Serikali za muda mfupi na muda mrefu zinazotolewa na Serikali ya Tanzania.
Uncategorized · August 10, 2026 9:08 am
Watumiaji wa dola wataendelea kununua dola kwa bei sawa na wiki iliyopita.