All
Afya
Afya & Maisha
Afya Na Maisha
Agriculture
Biashara
Biashara
Burudani
Chati & Data
Columnists
Commodities
Consumer Price Index
Currencies
Debunking Stories
Education
Education Stories
Fuel Price
Gender
Global Market Data
Habari
Import And Export
Infographics
Infographics
Jiko Point
Maoni & Uchambuzi
Mapishi
Masoko
Matukio
Maujanja
News
Nishati Safi
Nuktafakti
Ripoti Maalum
Safari
Safari
Tech
Teknolojia
Telecom
Telecom
Uchaguzi
Uchunguzi
Uncategorized
Vinywaji

Currencies · July 10, 2026 9:36 am

Dola ya Marekani yaongezeka kwa Sh5 NMB

NMB leo inanunua dola kwa Sh2,595 na kuiuza kwa Sh2,675, kutoka Sh2,590 na Sh2,670 zilizotumika jana Julai 9. 

News · July 9, 2026 6:22 pm

130 wakamatwa kwa kuhamasisha uhalifu Tanzania

Ni baada ya Jeshi la Polisi kufanya ufuatiliaji wa karibu katika mitandao ya kijamii na majukwaa mengine.

Uncategorized · July 9, 2026 4:23 pm

CCM, ACT-Wazalendo walivyotegua kitendawili cha maridhiano Zanzibar

Dar es Salaam. Hatimaye Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo vimesaini tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa visiwani Zanzibar, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kisiasa visiwani humo.  Tamko hilo limesainiwa katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo Julai 9, 2026, ikishuhudiwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan,  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa […]

Biashara · July 9, 2026 11:47 am

Mfumuko wa bei Tanzania wapungua kwa 0.2% Juni 2026

Hii ni baada ya kupaa na kufikia asilimia 4.2 mwezi Mei, kiwango cha juu zaidi kuwahi kurekodiwa ndani ya miaka mitatu

Ripoti Maalum · July 9, 2026 10:16 am

Ucheleweshaji vifaatiba unavyowatesa wenye ulemavu Bahi

Wazazi wa watoto wenye changamoto za viungo walia na gharama, ucheleweshaji wa huduma.

Currencies · July 9, 2026 9:21 am

Soko la fedha za kigeni labaki tulivu Julai 9,2026

Shilingi imeonyesha mabadiliko mseto huku dola ya Marekani ikibaki kwenye kiwango kilekile katika benki za CRDB na NMB.

Currencies · July 8, 2026 9:49 am

Shilingi ya Tanzania yaimarika kidogo dhidi ya Shilingi ya Kenya

Hii inaonyesha ongezeko la senti 4 katika viwango vyote vya kununua na kuuza.

Habari · July 7, 2026 1:31 pm

Ulinzi waimarishwa Dar, maduka yachelewa kufunguliwa

Sehemu kubwa ya barabara jijini Dar es Salaam zina msongamano mdogo huku ulinzi ukiimarishwa kwenye makutano ya barabara kuu. 

Biashara · July 4, 2026 3:18 pm

TRA yavuka lengo ikikusanya Sh37.96 trilioni 2025/26

Ni sawa na asilimia 105.24 ya lengo kulinganisha na lengo la Sh36.07 lililokusudiwa kukusanywa.

Biashara · July 3, 2026 1:09 pm

Juu zaidi: BoT yapandisha riba ya benki kuu hadi 6.25%

Kiwango kipya kilichopangwa na MPC ni cha juu tangu mfumo mpya wa kudhibiti mfumuko wa bei uanze kutumika zaidi ya miaka miwili iliyopita.

Afya & Maisha · July 2, 2026 4:19 pm

Marekani, Tanzania zasaini makubaliano afya ya $3.1 bilioni

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekataa kipengele cha kubadilisha sampuli za magonjwa ikieleza kuwa itajenga uwezo huo ndani ya nchi. 

Debunking stories · July 1, 2026 5:19 pm

Si kweli : Serikali imeongeza likizo ya wanafunzi kwa siku 7

Nukta Fakti yabaini dosari katika barua ikiwemo muundo wa kiutawala, jina na sahihi ya kiongozi mwenye thamana pamoja na ukakasi kwenye sababu za kuongezwa kwa likizo.

Currencies · July 1, 2026 8:32 am

Dola yapanda kidogo Julai, Euro na Pauni zashuka kulinganisha na Juni

Wafanyabiashara watalazimika kutoboa mifuko zaidi mwanzoni mwa mwezi Julai kulinganisha na mwezi mwanzoni mwa Juni.

Biashara · July 1, 2026 7:13 am

Ahueni bei ya petroli, dizeli mafuta ya taa ikishuka

Bei za mafuta katika soko la hapa nchini zinashuka kwa Shilingi 96 kwa lita ya petroli, Shilingi 151 kwa lita ya dizeli na Shilingi 242 kwa lita ya mafuta ya taa

Biashara · June 30, 2026 4:38 pm

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuchukua mkopo 

Angalia hali ya kipato chako, usikope kufanya anasa, nidhamu ya fedha ni muhimu. Mkopo wenye riba nafuu na unaorejeshwa kwa muda mrefu ndio rafiki.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
130 wakamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu Tanzania

130 wakamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu Tanzania

Nukta TV

Mfumuko wa bei Tanzania wapungua kwa 0.2%

Mfumuko wa bei Tanzania wapungua kwa 0.2%

Nukta TV

Rais Samia awaonya wanaharakati wenye matendo ya kigaidi

Rais Samia awaonya wanaharakati wenye matendo ya kigaidi

Nukta TV