Write to us and we can publish it to the world.
QUOTE OF THE DAY
Development is about more than money or machines or good policies, it\'s about real people and lives they lead - President Paul Kagame.
Arusha. Oktoba 10, kila mwaka dunia huadhimisha siku ya afya ya akili ikiwa na lengo la kuongeza uelewa wa matatizo ya afya ya akili duniani kote na kuhamasisha jitihada za kumaliza tatizo hili. Kwa mujibu wa asasi ya kiraia ya Tap Elderly Women’s Wisdom for Youth (TEWWY) katika kitabu chake cha Maswali Yaulizwayo na Jamii […]
Arusha. Ikiwa zimesalia siku chache kuelekea tamasha la magari la Land Rover Festival linalotarajiwa kufanyika mkoani Arusha, tajiri mashuhuri wa India na aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni za Tata (Tata Group), Ratan Tata, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Tata alikuwa mmoja wa viongozi wa biashara wanaotambulika kimataifa kutoka India, na Tata Group ni […]