Fact Check · December 10, 2024 9:09 am
Katika baadhi ya tamaduni wanawake wenye makalio makubwa hutafsiriwa kama warembo zaidi, hali hiyo imesababisha kuwepo na msukumo wa baadhi ya wanawake kutaka kuongeza maumbile yao ili kuongeza mvuto. Msukumo huo umesababisha kuenea kwa taarifa potofu zinazoelezea mbinu za kuongeza makalio ambazo baada ya uchambuzi wa kina zimebainika kuwa si kweli. Mathalani, hivi karibuni kumekuwa […]
Fact Check · July 30, 2024 4:50 am
TMDA yakanusha uwezekano wa virusi kukaa kwenye dawa
Yawataka wananchi kujenga utaratibu wa kupata taarifa kwenye vyanzo sahihi kabla ya kusambaza.
Fact Check · July 26, 2024 4:36 am
Ni video ya tukio la kweli lililotokea mwaka 2022.
Tukio hilo lilitokea eneo la Bongoni katika mpaka wa Buguruni na Ilala, Dar es Salaam.
Fact Check · July 15, 2024 5:25 am
Ukavu ukeni husababishwa na mabadiliko ya vichocheo mwilini
Faida nyingine za ulaji wa ndizi ni pamoja na kuimarisha mifupa
Fact Check · July 11, 2024 9:07 am
Nukta Fakti ilifanya uchunguzi na kugundua kuwa picha hizo zimetengenezwa na kuhaririwa kwa kutumia akili ya bandia (AI).
Fact Check · July 9, 2024 1:42 pm
Utafiti uliofanywa na Nukta Fakti umeonyesha kuwa bomu hilo la machozi lilishatoa gesi yake hivyo mwandamanaji huyo aliweza kulitumia kama chombo cha kawaida.
Fact Check · July 8, 2024 7:51 am
The video was taken during the funeral of Francis Koka, the father of Silvestry Koka, a Member of Parliament in Tanzania.
One among the people in the video is Freeman Mbowe, a Chairperson of Democratic and Development Party (Chadema).
Fact Check · July 3, 2024 1:44 pm
Ndege iliyochomwa ilikuwa ikitumika kama mgahawa katika bustani ya Uhuru.
Eneo ilipo ndege hiyo ni katikati ya mji na si sehemu ya ndege kutua.
Fact Check · February 20, 2024 4:44 am
Serikali yasema vyombo vya habari vimepotosha taarifa yake.
Yasema matumizi ya tiba isiyo sahihi ya ugonjwa huo ndio yanaweza kusababisha upofu.
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.
Fact Check · January 24, 2024 4:44 am
TMDA ilishakanusha uwezekano wa virusi hivyo kukaa kwenye vidonge.
Aidha dawa hiyo haijasajiliwa kuuzwa hapa nchini Tanzania.
Fact Check · January 18, 2024 1:32 pm
Ni Mombasa nchini Kenya.
Uchunguzi wa Nukta Fakti umebaini chanzo si fumanizi kama ilivyoelezwa awali.
Fact Check · January 18, 2024 10:53 am
Wataalamu wasema vijidudu vya kipindupindu huzaliana zaidi vikiwa kwenye maji ya baridi au yaliyoganda
Fact Check · January 9, 2024 9:28 am
Yasema haitambui kampuni ya Branch Mikopo inayodaiwa kutoa mikopo hiyo kwa udhamini wa Ofisi ya Waziri Mkuu.
Fact Check · January 3, 2024 2:50 pm
Taarifa zaeleza ni mzima na ana afya njema.
Fact Check · September 5, 2023 9:16 am
Video zinazosambaa zilichapishwa tangu mwaka 2022.
Ni Spika mstaafu wa Bunge la Gabon aliyekamatwa akiwa na zaidi ya Faranga bilioni moja.