Mkuu wa Mkoa Mwanza awafunda viongozi wa Chadema

Awataka kushirikiana kwa pamoja kuleta maendeleo kwa wananchi. Asema 4R za Rais Samia zitawasaidia katika kutatua na kusuluhisha migogoro ya wananchi kwa pamoja.

Ulega: asilimia 10 ya fedha za halmashauri ziwanufaishe vijana

Fedha hizo zitasaidia vijana kufanya uzalishaji utakaowawezesha kujikimu.

Mustakabali wa kikokotoo cha mafao bado kizungumkuti Tanzania

Serikali yasema inafanya tathmini na uchambuzi wa mabadiliko ya kikokotoo hicho.

Bajeti ya Wizara ya Madini yapaa kwa miaka mitano mfululizo

Wizara ya Madini imeliomba Bunge liidhinishe bajeti ya Sh213.98 bilioni kwa mwaka wa fedha 2024/25, ikiongezeka kwa mara ya tano mfululizo tangu mwaka 2020/21

Serikali kuinoa timu ya Taifa kuelekea michuano ya AFCON 2027

Huenda timu ya Taifa ya Tanzania ikafanya vizuri katika ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inayotarajiwa kufanyika mwaka 2027 mara baada ya Serikali kuanisha mikakati ya kuinoa timu hiyo.

Afya & Maisha

Burudani

Chati & Data

Maoni & Uchambuzi

NuktaFakti

  • Si kweli: Watu saba wapofuka macho kisa ‘Red Eyes’

    Serikali yasema vyombo vya habari vimepotosha taarifa yake. Yasema matumizi ya tiba isiyo sahihi ya ugonjwa huo ndio yanaweza kusababisha upofu. Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.

Safari