Matumizi ya vyandarua badobado Tanzania

Daudi Mbapani 1116Hrs   Aprili 25, 2024 Chati & Data

Dar es Salaam. Wakati maadhimisho ya siku ya siku ya malaria duniani yakiendelea katika nchi mbalimbali, Ripoti mpya ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania (THDS-MIS) kwa mwaka 2022 inaonyesha kupungua kwa matumizi ya vyandarua vyenye dawa kwa asilimia 13 ndani ya miaka 10.

Ripoti hiyo inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (Nbs) inaonesha Mwaka 2011/12 matumizi hayo yalikuwa asilimia 72 iliyoshuka zaidi hadi asilimia 59 mwaka 2022.

Related Post