Magonjwa 10 tishio kwa mifugo Tanzania

Daniel Samson 0342Hrs   Mei 19, 2023 Chati & Data

Dar es Salaaam. Mdondo ambao hushambulia zaidi wanyama jamii ya ndege wakiwemo kuku ndiyo ugonjwa uliochangia vifo vingi vya mifugo kwa mwaka 2022/23. 

Kwa mujibu wa Wizara ya Uvuvi na Mifugo, ugonjwa huo ulishambuliwa ndege 76,664 ambapo kati ya hayo 11,443 walifariki. Hiyo ni sawa na asilimia 49 ya vifo vyote vya mifugo vilivyotokea mwaka huu wa fedha. 

Ugonjwa wa pili ambao ulisababisha vifo vingi vya mifugo ni ugonjwa wa miguu na midomo ambapo mifugo 5,269 ilifariki sawa asilimia 22.6. 

Kufahamu magonjwa mengine yaliyoshambulia mifugo, tazama infografia hii 

Related Post