Rais Samia:Tuna kila sababu ya kujivunia Muungano wetu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Watanzania wana kila sababu ya kujivunia Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kutokana na manufaa yaliyopatikana ikiwemo kukua kwa uchumi.

Vifo vinavyotokana na mafuriko vyafikia 155, kaya 51,000 zikiathirika

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Tanzania zimesababisha vifo ya watu 155, majeruhi 236 huku kaya zaidi ya 51,000 zikiathirika.

Tanzania kukamilisha majadiliano mradi wa LNG mwaka 2024-25

Kukamilika kwa mradi huo kutaifanya Tanzania kuwa moja ya nchi zinazochangia katika usalama wa nishati duniani.

Ashtakiwa kwa kujiteka ili apate mtaji Mwanza

Alijiteka ili kujipatia mtaji wa Sh5 milioni kutoka kwa ndugu na marafiki zake wakaribu.

Bajeti ya Wizara ya Nishati Tanzania yapungua kwa Sh1.1 trilioni

Bajeti iliyoombwa kwa mwaka ujao wa fedha ni Sh1.88 trillioni kutoka Sh3 trilioni iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha 2023/24.