Scientists and local and international conservationists have sounded the alarm that the Lake Manyara tilapia population is fading due to overfishing and pollution
Wakati juhudi mbalimbali zikiendelea kumkomboa msichana katika mila na tamaduni zisizofaa, baadhi ya jamii mkoani Mwanza bado zinawazuia watoto wa kike kushiriki michezo jambo linaloweza kuathiri vipaji na afya zao
Kumekuwa na mjadala mpana kuhusu umri ambao mtoto anatakiwa aanze darasa la awali huku baadhi ya wazazi wakiwapeleka watoto wenye umri chini ya miaka mitatu na wengine wakipinga utaratibu huo.
Bei imeongezeka kwa Sh500 hadi 5,000 kutokana na vifaa.
Wazazi walalamikia kulazimishwa na baadhi ya shule kulipia gharama za vifaa kwao kwa bei ya juu.
Walimu watakiwa kuwapokea wanafunzi hata kama hawajakamilisha mahitaji husika.