Nukta Fakti
All
Debunking Stories
Education Stories
Infographics

Fact Check · October 9, 2025 12:37 pm

Habari za uzushi zinavyoweza kuathiri uchaguzi wa kidemokrasia

Ni pamoja na kuvuga amani na utulivu wa nchi.

Fact Check · October 6, 2025 6:13 pm

Si kweli: Mchanganyiko wa tango na asali ni sumu

Wataalamu wa lishe wanasema kuwa hakuna ukweli wowote na badala yake tango na asali vina virutubisho muhimu kwa afya ya  mwili wa binadamu. 

Fact Check · October 4, 2025 3:07 pm

Potofu: Mtoto hapotezi urijali kwa kudondokewa na kitovu

“Hakuna uhusiano wowote ule kwamba kitovu kikimuangukia mtoto anakosa hisia…wazee wetu wa zamani ili mama awe makini, walikuwa wanasema hivyo,” Dk Mapunda. 

Fact Check · September 26, 2025 2:40 pm

Tumia zana hizi kuthibitisha habari zilizotengenezwa na akili bandia

Zana hizo ni pamoja na ‘FotoForensics’ na ‘Fake Image Detector’.

Fact Check · September 17, 2025 2:48 pm

Ufanye nini ukikutana na habari za uzushi mtandaoni

Ni pamoja na kuripoti kwa mamlaka husika au kuwasiliana na wathibisha habari.

Fact Check · September 10, 2025 3:46 pm

Fahamu maeneo 3 yanayozalisha habari za uzushi mtandaoni

Ni pamoja na majukwaa ya kigitali ya mtandaoni na vyombo vya habari visivyo rasmi.

Fact Check · September 3, 2025 11:23 am

Mbinu za kuthibitisha habari bila intaneti

Ni pamoja na kusikiliza matangazo na habari kutoka mamlaka husika.

Fact Check · August 18, 2025 3:03 pm

Si kweli: Mkuu wa Mkoa wa Arusha amewachapa viboko wakandarasi

Nukta Fakti imefanya uchunguzi na kubaini taarifa hiyo si ya kweli na picha iliyotumika kusambaza taarifa hiyo imetumika katika muktadha tofauti ili kupotosha.

Fact Check · August 15, 2025 6:52 pm

Si Kweli: Serikali imepunguza vipimo vya VVU kwa wajawazito

Taarifa zinazodai kuwa Wizara ya Afya imepunguza idadi ya vipimo vya Virusi vya Ukimwi kwa wajawazito  kutoka mara tano hadi mara mbili. Taarifa hizo si za kweli.

Fact Check · August 13, 2025 6:38 pm

Fahamu sehemu sahihi za kupata taarifa za uchaguzi

Ukiwa kama Mwananchi mwenye kiu na taarifa sahihi zenye ukweli wa kina ni muhimu kufahamu wapi unapoweza kupata taarifa za uchaguzi

Fact Check · August 7, 2025 5:13 pm

Fahamu idadi ya majimbo na wapiga kura Uchaguzi Mkuu wa 2025

Jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamesajiliwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu. Kati yao wanaume ni milioni 18,712,104 huku wanawake wakiwa milioni 18,943,455.

Fact Check · July 25, 2025 11:55 am

Si kweli: Maria Sarungi amshinikiza Heche kusaini kanuni za maadili za Uchaguzi  

Si kweli Boni Yai amemtuhumu Maria Sarungi kumshinikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche kusaini kanuni za maadili za Uchaguzi.

Fact Check · July 22, 2025 5:20 pm

SI KWELI: Freeman Mbowe afukuzwa Chadema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefukuzwa uanachama na uongozi wa chama hicho.

Fact Check · July 14, 2025 4:30 pm

SI KWELI: Rais Samia atuma ujumbe wa kutatanisha kupitia ukurasa wake wa X

Picha ya screenshot inayodai kuonesha ujumbe uliotumwa kupitia akaunti rasmi ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwenye mtandao wa X (zamani Twitter).

Fact Check · July 2, 2025 1:00 pm

Si kweli: Chadema yaandika barua ya siri kushiriki Uchaguzi Mkuu

Taarifa hii ya upotoshaji imesambaa ikionekanama kama barua rasmi lililoandikwa na Chadema ikiwa na mhuri rasmi pamoja na sahihi ya Katibu Mkuu wa chama hicho.

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks