Habari za uzushi zinavyoweza kuathiri uchaguzi wa kidemokrasia

October 9, 2025 12:37 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuvuga amani na utulivu wa nchi.

Arusha. Wakati zikisalia siku 20 kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025 jamiii imeshauriwa kujihadhari na habari za uzushi zinazoweza kuathiri zoezi hilo la kidemokrasia.

Miongoni mwa athari zinazoweza kusababishwa na habari hizo za uzushi kuhusu uchaguzi ni wapiga kura kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati wa kuchagua viongozi pamoja na Kuvuruga amani na utulivu wa nchi.

Athari nyingine ni kupunguza imani ya wananchi kwa taasisi zinazosimamia uchagu kujenga na kusambaza chuki, hofu na mgawanyiko wa watu kwenye jamii, kuharibu heshima na uaminifu wa wagombea kwa wapiga kura na kusababisha mwitikio mdogo wa watu siku ya kupiga kura

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks