Hali halisi maambukizi ya Uviko-19 duniani

February 28, 2023 6:41 am · admin
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Maelfu ya watu bado wameendelea kuambukizwa ugonjwa wa Uviko-19 sehemu mbalimbali duniani. Mpaka sasa zaidi ya watu watu milioni 757.2 wameambukizwa ugonjwa huo duniani..

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi kufikia Februali 22 mwaka huu watu milioni 6.8 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo unaosambashambulia mfumo wa hewa huku vifo 434 vikiripotiwa saa 24 zilizopita.

Enable Notifications OK No thanks