Biashara
Usafiri, bidhaa za vyakula vyapaisha mfumuko wa bei kwa asilimia 0.8 Tanzania
Published 8 hours ago
Huenda ongezeko hili limechochewa na kupaa kwa bei ya mafuta duniani kunakotokana na vita vinavyoendelea kati ya Marekani, Israeli na Iran.
By Fatuma Hussein
News
Wagonjwa wa afya akili waongezeka kwa asilimia 89, Serikali yaanika mikakati kuwakabili
By Fatuma Hussein
1 day ago
Do you have you own story?
Write to us and we can publish it to the world.
News
Bei ya petroli,dizeli yapaa Serikali ikiweka ruzuku ya Sh259
Published 6 days ago
Kupanda huko kwa mafuta kumepunguza karibu lita 1.06 ya petroli kutoka kiwango kilichokuwa kikipatikana mwezi uliopita.
N
By Fatuma Hussein
Subscribe to our channel
Nukta TV
Gundua Zaidi
Afya
Watatu wafariki katika mlipuko wa ‘hantavirus’ ndani ya meli ya kitalii
Published 1 week ago
Aidha, mwanaume mwingine mwenye umri wa miaka 69 raia wa Uingereza anaendelea kupatiwa matibabu katika ICU huku hali yake ikielezwa kuwa mbaya.
By Fatuma Hussein
Follow us on TikTok
Nukta Habari
Loading TikTok...
Chambuzi na Makala
News
Wizara ya Habari yaomba kuidhinishiwa bajeti ya Sh525.32 bilioni mwaka wa fedha 2026/27
Published 1 week ago
Wizara pia imejipanga kuratibu na kusimamia matamasha, shughuli na matukio makubwa ya kitaifa na kimataifa yanayohusiana na habari, utamaduni, sanaa na michezo.
By Fatuma Hussein
SUBSCRIBE TO
Nukta NEWSLETTER
Stay ahead of the market with in-depth, data-driven news analysis to inform better decisions.
CONTRIBUTE TO
Nukta
Are you a content creator? Start contributing to Nukta Habari to spread your ideas in Tanzania and across the world.
BENEFIT FROM
Nukta ADS
Advertise with us to reach a wider audience with high conversion rates.
News
Rais Kagame kufanya ziara ya kikazi Tanzania kesho
Published 1 week ago
Katika ziara hiyo, Rais Kagame atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Tanzania Samia Suluhu Hassan. Mazungumzo yao yataangazia masuala ya ushirikiano kati...
N
By Fatuma Hussein
News
Rais Samia: Vijana 7,593 wamepata ajira nje ya nchi
Published 2 weeks ago
Ili kuendelea kufungua fursa nyingi zaidi za ajira nje ya nchi Rais Samia amesema Serikali yake itaendelea kuratibu fursa hizo ili zilete...
By Fatuma Hussein
News
Makonda: Vyombo vya habari haviwezi kuwa huru bila uchumi imara
Published 2 weeks ago
“Uchumi wa habari unapokuwa mdogo unawapa nafasi wanasiasa uchwara na wala rushwa kuwatia mfukoni,” amesema Makonda.
By Kelvin Makwinya
Habari
Chande aeleza sababu tume kutotaja majina ripoti ya vurugu Oktoba 29
By Kelvin Makwinya
2 weeks ago