Safari

Safari · May 29, 2026 12:56 pm

Wafahamu wanyama wanaojulikana kama ‘The Big Five’

Wanaitwa ‘The Big Five’ kutokana na ugumu na hatari zao kuwawinda kwa miguu.

Safari · December 5, 2025 12:35 pm

Hizi ndio nchi 5 zenye idadi kubwa ya Simba Afrika

Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2025 za Shirika la World Population Review. Ifuatayo ni orodha ya nchi tano zenye idadi kubwa ya simba Afrika.

Safari · September 17, 2025 4:50 pm

Utalii waongeza fedha za kigeni Tanzania

Hifadhi ya fedha za kigeni ikiwemo Dola za Marekani imeendelea kuongezeka nchini, kutokana na kuongezeka kwa shughuli za utalii katika maeneo mbalimbali nchini.

Safari · July 14, 2025 6:50 pm

Je, Black Mamba ndiye nyoka hatari zaidi duniani ?

Ni nyoka mwenye uwezo wa kukimbia kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa, anaweza kufikia urefu wa hadi futi 12, na sumu yake huua ndani ya dakika 20.

Safari · January 28, 2025 6:16 pm

Serikali yakaribisha wawekezaji binafsi  pori la akiba Pande kukuza utalii

Kulingana na makadirio ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka 2023/24, utalii pekee unachangia asilimia 25 ya mapato ya fedha za kigeni, huku misitu na nyuki zikichangia asilimia 5.9.

Safari · December 24, 2024 3:46 pm

Maeneo ya kujivinjari Dar, Pwani na Zanzibar mwisho wa mwaka

Dar es Salaam. Mwisho wa mwaka ni kipindi maalum ambacho wengi hutumia kujivinjari na kupumzika baada ya shughuli nyingi za mwaka mzima. Kwa wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani na visiwa vya Zanzibar yapo baadhi ya maeneo ambayo unaweza kuyatumia kupumzika na kutuliza akili. Maeneo hayo yana vivutio vya kipekee ambavyo vimekuwa […]

Safari · September 20, 2024 5:39 pm

Vifahamu visiwa 10 vikubwa zaidi duniani

Visiwa hivyo ni pamoja na kisiwa cha Greenland, Honshu, Bornea na Sumatra.

Safari · September 6, 2024 4:48 pm

Milima 10 mirefu zaidi duniani

Ni pamoja na Mlima Puncak Jaya, Vinscon Massif pamoja na Mlima Kilimanjaro.

Safari · August 20, 2024 6:05 pm

Fahamu vituo 9 maarufu kwa utalii Afrika.

Dar es Salaam. Afrika ni miongoni mwa mabara yaliyobarikiwa vivutio vya utalii lukuki vinavyopendezesha na kuongeza mvuto katika nchi vilivyopo. Vivutio hivi hufanya mamilioni ya watalii kutoka pande zote za dunia kutembelea bara la Afrika kila mwaka hususani katika kipindi hiki ambacho hatari dhidi ya janga la Uviko 19 imepungua katika nchi nyingi duniani. Shirika […]

Safari · July 31, 2024 4:50 am

Fahamu faida za kutunza mikoko

Ni pamoja na kupunguza hewa ya ukaa na kuchochea ongezeko la samaki.

Safari · June 3, 2024 5:34 am

Mapato yatokanayo na utalii wa kitaifa, kimataifa yapaa Tanzania

Mapato yatokanayo na shughuli za utalii wa kimataifa yameongezeka kwa asilimia 161 kipindi cha miaka mitatu huku sababu zikitajwa kuwa ni kuimarishwa kwa miundombinu na mchango wa filamu ya ‘Royal Tour’.

Safari · May 11, 2024 6:33 am

Idadi ya watalii yapaa kwa asilimia 27 Tanzania

Yafikia 520,324 katika kipindi cha Januari hadi Machi 2024

Safari · May 7, 2024 1:21 pm

Kuna nini Ngorongoro? Rais Samia ateua bosi mpya ndani ya miezi 7

Amteua Dk Elirehema Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro.

Safari · March 10, 2024 12:24 pm

Tanapa yakamilisha ukarabati wa barabara hifadhi ya Serengeti

Yasema ubovu wa barabara ulikwamisha baadhi ya shughuli za utalii.

Safari · January 5, 2024 8:26 am

Jela miaka 100 kwa kukutwa na meno ya tembo, Mwanza

Ni hukumu ya makosa matano tofauti ambapo kila kosa ni miaka 20 jela.
Miongoni ni kukutwa na nyara za Serikali pamoja na silaha kinyume cha sheria.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Nukta TV

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Nukta TV

Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV