Mapishi · November 5, 2026 9:52 am
Unapochagua maharage ni muhimu kuyafahamu majina na sifa za aina mbalimbali zinazolimwa nchini.
Afya na Maisha · November 3, 2026 5:22 pm
Nimonia ni aina ya maambukizi ya ghafla katika mfumo wa upumuaji yanayoathiri mapafu, hususan kwenye vifuko vidogo vya hewa.
Jiko Point · October 28, 2026 10:03 am
Uyoga una kati ya asilimia 20 hadi 35 ya protini ikiwa ni tofauti kabisa na mimea mingine suala linaloufanya uwe mbadala sahihi wa nyama.
Biashara · October 9, 2026 6:21 pm
Mbali na chakula, bei za baadhi ya bidhaa za matumizi ya nyumbani pia zilipanda.
Biashara · October 9, 2026 5:19 pm
Mwaka 2020/2021, Tanzania iliuza nje tani 15,432.77 za parachichi, kabla ya kiasi hicho kuongezeka hadi tani 52,000 mwaka 2025/2026.
Jiko Point · August 28, 2026 3:50 pm
Siri ya kuandaa kachumbari tamu ya kabeji ipo kwenye namna unavyochanganya viungo vyake.
Afya & Maisha · August 6, 2026 12:04 pm
Matumizi ya mshumaa katika mazingira yenye mzunguko mdogo wa hewa yanaweza kusababisha maumivu ya kichwa, athari katika mfumo wa upumuaji na homoni
Biashara · August 5, 2026 9:17 am
Bei ya petroli imepungua kwa Sh92 kwa lita, dizeli kwa Sh204 kwa lita, huku mafuta ya taa yakishuka kwa Sh440 kwa lita ikilinganishwa na viwango vya mwezi uliopita.
Jiko Point · August 1, 2026 12:43 pm
Sijawahi kula mboga tamu kama ile tena na ugali tangu mwaka 2008.
Jiko Point · July 31, 2026 12:06 pm
Wanawake hao wanatoka katika vikundi 56 vilivyopo katika Wilaya za Kibaha, Mkuranga na Kisarawe zilizopo mkoani humo.
Nishati safi · July 31, 2026 11:06 am
Ni pamoja na uzalishaji, usambazaji, na biashara ya kaboni.
Mapishi · July 28, 2026 2:04 pm
Ni viazi vitamu vilivyokatwa vipande na kukaushwa ambavyo Wasukuma hutumia kama kifungua kinywa.
Mapishi · July 28, 2026 12:26 pm
“Yaani wakishua mnazingua sana! Ugali wa nazi tena? Hapa ni hasara tupu.”Sikubishana naye.
Biashara · May 22, 2026 5:47 pm
(EAC) imepaa kwa asilimia 8.9 ndani ya mwaka mmoja ikichangiwa na kuboreshwa kwa mazingira ya biashara nchini.
Matukio · May 15, 2026 1:11 pm
Ongezeko hilo ni matokeo ya kuongezeka kwa ushirikiano na mahusiano ya kidiplomasia nje ya nchi.