Biashara
Biashara · May 22, 2026 5:36 pm
Biashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imepaa kwa asilimia 8.9 ndani ya mwaka mmoja ikichangiwa na kuboreshwa kwa mazingira ya biashara nchini.
Biashara · May 20, 2026 9:47 am
Kwa pamoja, kiwango hicho pendekezwa ni ongezeko la asilimia 42.2 kutoka gawio la Sh428.85 kwa kila hisa la mwaka 2024.
Biashara · May 18, 2026 9:07 pm
Mkutano huo unaotarajia kufanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania utawakutanisha washiriki zaidi ya 10,000 kutoka nchi zaidi ya 35.
Biashara · May 18, 2026 2:55 pm
Suzuki Swift inaweza kutumia lita moja ya mafuta kwa wastani wa kilomita 18 hadi 23.
Biashara · May 18, 2026 10:06 am
NMB inatarajia kuongeza mtaji wa utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu na ya muda mrefu kwa wakulima, wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs)
Biashara · May 14, 2026 5:15 pm
Faida baada ya kodi ya Vodacom yafikia Sh107.1 bilioni ikiwa ni kiwango cha juu kuwahi kurekodiwa ndani ya miaka saba.
Biashara · May 12, 2026 5:14 pm
Huenda ongezeko hili limechochewa na kupaa kwa bei ya mafuta duniani kunakotokana na vita vinavyoendelea kati ya Marekani, Israeli na Iran.
Biashara · April 27, 2026 4:27 pm
Gawio hilo limeshuka kwa asilimia 35 ikilinganishwa na gawio la awali la Sh818 kwa kila hisa lililotangazwa kwa mwaka ulioishia Desemba 31, 2024.
Biashara · April 25, 2026 4:08 pm
Uingereza ilisalia kuwa mwekezaji mkuu kwa mwaka wa tatu mfululizo ikimiliki asilimia 26.9 ya hisa zote za uwekezaji.
Biashara · April 24, 2026 5:55 pm
Maombi yote ya leseni yaliyowasilishwa kupitia mfumo wa TNBP kabla ya Aprili 19, 2026 yanapaswa kukamilishwa kupitia mfumo huo kabla ya Mei 1, 2026
Biashara · April 20, 2026 5:11 pm
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotolewa na Benki za CRDB na NMB kwa matumizi ya leo Aprili 20, 2026 vinaonesha hakuna mabadiliko yoyote ikilinganishwa na wiki iliyopita.
Biashara · April 15, 2026 6:01 pm
Uongozi wa DSE umeongeza mara mbili wigo wa ukomo wa mabadiliko ya bei kwa hisa kwa siku kutoka asilimia 5 hadi 10 ndani ya siku tano za kazi.
Biashara · April 2, 2026 2:56 pm
Ni kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa wateja na kukimbizana na kasi ya uchumi wa kidijitali.
Biashara · April 1, 2026 2:46 pm
Viashiria vya kiuchumi vinaonyesha kuwa vipo imara kiasi cha kutoathiriwa vibaya sana na athari ya vita kati ya Marekani na Israel dhini ya Iran.
Biashara · April 1, 2026 3:50 am
Petroli inayopitia Bandari ya Dar es Salaam inauzwa kwa bei ya reja reja ya Sh 3,820 na dizeli ShSh3,806.