

Fact Check · April 12, 2023 2:35 pm
Zaidi ya watu 42,000 wameambukizwa ugonjwa huo tangu uingie mwaka 2020 huku 846 kati yao wakifariki dunia.

Fact Check · April 11, 2023 12:23 pm
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeendelea kusisitiza kuwa chanjo dhidi ya Uviko-19 ielekezwe katika maeneo yenye hatari kubwa ya kupata ugonjwa huo ili kuokoa maisha watu.

Fact Check · March 16, 2023 1:05 pm
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi kufikia Machi 16 mwaka huu watu milioni 6.8 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo unaosambashambulia mfumo wa hewa.

Fact Check · February 23, 2023 6:59 am
Ni kufuata tahadhari zote zinazoshauriwa na watalaam wa afya ikiwemo kupata chanjo na kunawa mikono kwa maji tiririka.

Fact Check · February 22, 2023 1:55 pm
Ni pamoja na kupunguza matumizi ya pombe na kupata taarifa sahihi, kuupa mwili shughuli kwa ratiba maalumu.

Fact Check · February 20, 2023 6:27 am
Wanaotengeneza habari za uzushi na kusambaza mtandaoni hutumia suala la afya kuwaletea watu madhara ikiwemo utapeli.

Fact Check · February 19, 2023 5:49 am
Baadhi ya watu wanapata matatizo ya afya ya muda mrefu baada ya kuugua na Uviko-19. Wakati mwingine ugonjwa huo husababisha mtu kujisikia mgonjwa kwa miezi mingi baada ya kuumwa mwanzoni.

Fact Check · February 16, 2023 8:27 am
Wahudumu wa afya wanne kati ya 10 katika nchi 23 za Afrika wamepata dozi kamili ya chanjo ya Uviko-19, jambo linalosaidia kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Fact Check · February 13, 2023 10:24 am
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema idadi kubwa ya wanaofariki kwa ugonjwa huo ni watu wenye umri kuanzia miaka 60.

Fact Check · January 28, 2023 7:31 am
Jumatatu ijayo Januari 30, 2023 itakuwa ni miaka mitatu tangu ugonjwa wa Uviko-19 utangazwe kuwa dharura ya afya ya umma duniani.

Fact Check · January 27, 2023 7:24 am
Idadi ya Watanzania wanaokula milo mitatu imeshuka kutoka asilimia 71.2 mwaka 2014/15 mpaka asilimia 63 mwaka 2020/21.

Fact Check · January 22, 2023 9:42 am
Asilimia 86 ya watu wenye sifa wamepata chanjo dhidi ya ugonjwa huo hadi kufikia Disemba 31, 2022.

Fact Check · January 19, 2023 7:16 am
Nchi ya Afrika Kusini imeshika nafasi ya kwanza ambapo mpaka sasa watu wake milioni 4.05 wameambukizwa ugonjwa huo.

Fact Check · January 18, 2023 7:17 am
Wakati ukifurahia kuanza mwaka ukiwa karibu na familia au watu uwapendao kuna mamilioni ya watu ambao wanalazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo migogoro ya kisiasa.

Fact Check · January 10, 2023 6:09 am
Nchi hizo ni pamoja na Marekani, India, Ufaransa na Ujerumani.