Uviko-19 bado unaitesa dunia

March 16, 2023 1:05 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Maelfu ya watu bado wameendelea kuambukizwa ugonjwa wa Uviko-19 sehemu mbalimbali duniani. Mpaka sasa zaidi ya watu watu milioni 760 wameambukizwa ugonjwa huo duniani.

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi kufikia Machi 16 mwaka huu watu milioni 6.8 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo unaosambashambulia mfumo wa hewa.

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks