Habari
Habari · October 1, 2026 11:30 am
Raia wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameondolewa kwenye hitaji hilo.
Habari · September 29, 2026 8:24 pm
Hukumu hiyo kutoka kwa jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu itaamua iwapo kiongozi huyo wa upinzani ana hatia au la.
Habari · September 25, 2026 5:51 pm
Lissu anatarajiwa kuhitimisha majumuisho ya hoja za utetezi Septemba 28, mwaka huu, kabla ya upande wa mashtaka kuwasilisha majumuisho yao, hatua itakayofungua njia kwa Mahakama kutoa uamuzi
Habari · September 25, 2026 2:40 pm
Marekebisho hayo yanahusu mitihani na upimaji iliyokuwa imepangwa kufanyika katika kipindi cha Oktoba na Novemba 2026, huku hatua hiyo ikilenga kuhakikisha shughuli hizo zinafanyika katika mazingira salama.
Habari · September 25, 2026 12:34 pm
Uchaguzi huo mdogo utafanyika Novemba 4, 2026, huku mchakato wa uteuzi wa wagombea ukitarajiwa kuanza Oktoba 7 kwa utoaji wa fomu za uteuzi.
Habari · September 11, 2026 4:32 pm
Kuna makundi manne tu ya watu wenye kinga kisheria zinazowapa hiari ya kuitikia au kutokuitikia wito wa Mahakama wa kwenda kutoa ushahidi.
Habari · September 10, 2026 6:03 pm
Kwa kawaida kipindi hiki huchukua kwa muda wa miezi minne na siku 10 kwa mtu aliyefiwa na mume huku kwa mjamzito ikiwa tofauti.
Habari · September 7, 2026 6:10 pm
Matukio hayo ni uzinduzi rasmi wa Mji wa Serikali Mtumba pamoja na uzinduzi wa Ramani ya Utekelezaji ya Kinara wa Umoja wa Afrika katika Afya ya Uzazi, mama, mtoto mchanga, mtoto na vijana kwa mwaka 2026–2030.
Habari · September 3, 2026 5:48 pm
Ni pamoja na Daniel Samson na Esau Ng’umbi.
Habari · September 2, 2026 4:01 pm
Awataka kuwarudisha machinga katika masoko waliyopangiwa, kutatua kero.
Biashara · August 31, 2026 7:00 pm
Ni kwa lengo la kupunguza usumbufu unaowakabili wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo.
Habari · August 29, 2026 11:51 am
Hatimaye Tanzania imepata Makamu wa Rais mpya, baada ya kuapishwa kwa Deogratius Ndejembi, leo Agosti 29, 2026 ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Habari · August 27, 2026 6:12 pm
Mwenyekiti wa UVCCM, Mohamed Kawaida ameiambia Nukta Habari kuwa Dk Nchimbi anaweza kurejea CCM ikiwa ataiomba msamaha NEC.
Habari · August 27, 2026 4:18 pm
Ni baada ya ya TMA kutangaza ujio wa mvua kubwa za El Niño kuanzia Septemba hadi Januari, 2027.
Habari · August 27, 2026 2:58 pm
Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) anasema kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, Ibara ya 47, mtu hawezi kuwa kiongozi yeyote wa kisiasa kama hatoki kwenye chama cha siasa.