Habari
Habari · July 15, 2026 4:36 pm
Ndani ya muda huo, matumizi ya nishati safi yamepaa na kufikia asilimia 28.6 ikisalia miaka nane katika utekelezaji wake.
Habari · July 11, 2026 2:46 pm
Dirisha hilo la awamu ya kwanza litadumu kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Julai 10 hadi Agosti 10, 2026.
Habari · July 7, 2026 1:31 pm
Sehemu kubwa ya barabara jijini Dar es Salaam zina msongamano mdogo huku ulinzi ukiimarishwa kwenye makutano ya barabara kuu.
Afya & Maisha · July 2, 2026 4:19 pm
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekataa kipengele cha kubadilisha sampuli za magonjwa ikieleza kuwa itajenga uwezo huo ndani ya nchi.
Habari · June 19, 2026 4:59 pm
Waombaji wanatakiwa kuwasilisha maombi ndani ya siku 73 kabla ya Agosti 31, 2026.
Habari · June 11, 2026 7:37 pm
Ada ya maombi ya leseni ya huduma za maudhui mtandaoni imepunguzwa kutoka Sh 50,000 hadi shilingi 10,000.
Habari · June 11, 2026 6:55 pm
Ni baada ya Serikali kupendekeza punguzo la kodi kwenye bidhaa na vifaa vinavyohusiana na nishati hizo.
Biashara · June 11, 2026 5:19 pm
Pendekezo hilo jipya linatarajia kuingiza Sh74.5 bilioni kwenye kibubu cha Serikali mwaka 2026/27.
Habari · June 11, 2026 12:22 pm
Sasa wastani wa pato la mtu mmoja mmoja Tanzania (GDP per capita) limefikia Sh3.5 milioni mwaka 2025
Habari · June 9, 2026 4:50 pm
Ni kufuatia ziara ya Rais wa Singapore nchini ambayo ni kwa mara ya kwanza tangu mataifa haya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia miaka 45 iliyopita.
Habari · June 4, 2026 12:39 pm
Ni baada ya kutua Tanzania tangu kusainiwa kwa mkataba Novemba 3, 2021
Habari · June 3, 2026 4:15 pm
Wizara ya fedha yaomba Sh21.1 trilioni ili kufikia azma hiyo na kutimiza vipaumbele 8 bajeti 2026/2027.
Habari · May 22, 2026 9:53 am
Licha ya kuwa ya kuwa mkoa ulioongoza kwa matukio, ilala imerekodi vifo vya watu 12, vifo vichache zaidi kuliganisha mikoa mingine.
Habari · April 28, 2026 4:20 pm
Yasema ushahidi uliokusanywa na tume ulitoka upande wa waathirika pekee na haukutoa fursa kusikiliza upande wa watuhumiwa.
Habari · April 27, 2026 5:09 pm
Ni kwa lengo la kuimarisha uelewa na matumizi ya teknolojia za kisasa katika tasnia ya habari, pamoja na kukuza uwezo wa uandishi wa habari za takwimu.