Jiko Point · August 1, 2026 12:43 pm
Sijawahi kula mboga tamu kama ile tena na ugali tangu mwaka 2008.
Jiko Point · July 31, 2026 12:06 pm
Wanawake hao wanatoka katika vikundi 56 vilivyopo katika Wilaya za Kibaha, Mkuranga na Kisarawe zilizopo mkoani humo.
Nishati safi · July 31, 2026 11:06 am
Ni pamoja na uzalishaji, usambazaji, na biashara ya kaboni.
Mapishi · July 28, 2026 2:04 pm
Ni viazi vitamu vilivyokatwa vipande na kukaushwa ambavyo Wasukuma hutumia kama kifungua kinywa.
Mapishi · July 28, 2026 12:26 pm
“Yaani wakishua mnazingua sana! Ugali wa nazi tena? Hapa ni hasara tupu.”Sikubishana naye.
Biashara · May 22, 2026 5:47 pm
(EAC) imepaa kwa asilimia 8.9 ndani ya mwaka mmoja ikichangiwa na kuboreshwa kwa mazingira ya biashara nchini.
Matukio · May 15, 2026 1:11 pm
Ongezeko hilo ni matokeo ya kuongezeka kwa ushirikiano na mahusiano ya kidiplomasia nje ya nchi.
Mapishi · May 3, 2026 12:40 pm
Wali ni miongoni mwa vyakkula maarufu vinavyopikwa mara kwa mara katika nyumba nyingi nchini Tanzania. Umaarufu wa chakula hicho huonekana zaidi katika matukio muhimu ikiwemo sherehe, ambapo hupikwa wa aina mbalimbali ili kuvutia wageni. Licha ya umaarufu wake, mapishi ya aina moja ya chakula hiki huchosha walaji hivyo unaweza ukatumia karoti kuongeza ladha na ubunifu […]
Matukio · April 21, 2026 4:00 pm
Kaulimbiu ya kongamano hilo ni Shiriki kulinda amani na mshikamano wa taifa, amani ni hazina yetu, mama na baba lishe.
Biashara · March 26, 2026 7:38 pm
Hatua hiyo imelenga kuharakisha uingizaji wa mafuta ya petroli katika soko la ndani kupunguza presha ya uhaba wa nishati hiyo.
Nishati safi · March 21, 2026 7:16 am
Nishati safi inakupunguzia muda wa kukaa jikoni pamoja na kukupa uwezo wa kupika mapishi mengi.
Mapishi · March 20, 2026 6:42 pm
Pishi hili ni mbadala wa aina nyingine za pilau zilizozoeleka ambazo hupikwa mara kwa mara katika matukio muhimu.
Afya na Maisha · March 17, 2026 9:34 am
Figo hufanya kazi ya kusafisha damu na kudhibiti maji na madini mwilini, na ulaji wa vyakula visivyofaa unaweza kuathiri utendaji kazi wake.
Biashara · March 4, 2026 9:19 am
Husababisha kusimama kwa shughuli za kiuchumi, kuvuruga mawasiliano, hasara ya kifedha na huathiri elimu na huduma za afya.
Nishati safi · February 18, 2026 5:27 pm
Makamba atoa wito kwa sekta binafsi katika kuzalisha na kusambaza wa nishati safi ya kupikia ili kuongeza upatikanaji na kupunguza gharama.