Afya & Maisha
Afya & Maisha · July 22, 2026 2:58 pm
Ni pamoja na Passort ya Singapore, Japan, Finland, Denmark na New Zealand.
Afya & Maisha · July 21, 2026 1:01 pm
Brenda aliyeitumikia CCBRT kwa zaidi ya miaka 17 alikuwa Mtanzania na mwanamke wa kwanza kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Desemba 2018
Afya & Maisha · July 17, 2026 6:37 pm
Mlipuko huo unakuwa wa tatu kwa ukubwa na wenye kasi kuliko mlipuko wowote katika historia ya Ebola.
Afya & Maisha · July 17, 2026 5:09 pm
Wakati mataifa mengi yakitumia fedha nyingi kuuzalisha kwa teknolojia ya kisasa, Tanzania imebarikiwa kuwa na mazingira ya asili yanayoweza kuukuza.
Afya & Maisha · July 16, 2026 5:21 pm
Ni mfumo unaowekwa chini ya godoro kufuatilia viashiria muhimu vya mgonjwa kwa saa 24.
Afya & Maisha · July 14, 2026 5:19 pm
Magonjwa sugu ya figo husababisha kati ya vifo milioni 1.5 na 1.6 kila mwaka duniani, huku idadi hiyo ikiendelea kuongezeka.
Afya & Maisha · July 2, 2026 4:19 pm
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekataa kipengele cha kubadilisha sampuli za magonjwa ikieleza kuwa itajenga uwezo huo ndani ya nchi.
Afya & Maisha · June 23, 2026 3:24 pm
Ugunduzi huo unatarajiwa kuleta matumaini mapya katika kupambana na magonjwa ya kuambukiza
Afya & Maisha · June 20, 2026 2:40 pm
WHO inaeleza kuwa matumizi ya dawa za kuongeza mkazo wa mfuko wa uzazi mara baada ya kujifungua husaidia kupunguza hatari hiyo.
Afya & Maisha · June 17, 2026 2:42 pm
Katika ripoti hiyo Dar es Salaam ni mkoa wa kwanza miongoni mwa mikoa mitano inayoongoza kwa vifo vya akina mama nchini ikiwa na vifo 382 ndani ya kipindi hicho.
Afya & Maisha · June 10, 2026 2:40 pm
Kwa ujumla, usalama wa chakula si suala la uchaguzi binafsi pekee, bali ni jukumu la pamoja linalohitaji elimu, uangalizi na hatua madhubuti ili kulinda kizazi kijacho.
Afya & Maisha · June 8, 2026 5:18 pm
Hali hii humfanya mama kuwa katika hatari ya kupata baadhi ya magonjwa kama ilivyo kwa watu wengine.
Afya & Maisha · May 19, 2026 5:03 pm
Ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa tetesi katika jamii na uchunguzi wa afya kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia mipaka, bandari na viwanja vya ndege.
Afya & Maisha · May 18, 2026 8:45 pm
Serikali ya Tanzania imeimarisha ufuatiliaji wa wagonjwa wenye dalili zinazofanana na Ebola katika jamii na vituo vya kutolea huduma za afya nchini kote.
Afya & Maisha · May 15, 2026 10:26 am
Taarifa hiyo ya WHO ilithibitisha watu sita kutoka katika meli hiyo kuambukizwa ugonjwa huo huku watatu tayari wakiripotiwa kupoteza maisha.