Afya & Maisha

Afya & Maisha · June 17, 2026 2:42 pm

Dar es Salaam kinara kwa vifo vya mama wajawazito Tanzania

Katika ripoti hiyo Dar es Salaam ni mkoa wa kwanza miongoni mwa mikoa mitano inayoongoza kwa vifo vya akina mama nchini ikiwa na vifo 382 ndani ya kipindi hicho.

Afya & Maisha · June 10, 2026 2:40 pm

Watoto hatarini, chakula kisichokuwa salama

Kwa ujumla, usalama wa chakula si suala la uchaguzi binafsi pekee, bali ni jukumu la pamoja linalohitaji elimu, uangalizi na hatua madhubuti ili kulinda kizazi kijacho.

Afya & Maisha · June 8, 2026 5:18 pm

Fahamu madhara ya kutumia dawa hovyo wakati wa ujauzito

Hali hii humfanya mama kuwa katika hatari ya kupata baadhi ya magonjwa kama ilivyo kwa watu wengine.

Afya & Maisha · May 19, 2026 5:03 pm

Tanzania yaanika afua 10 kudhibiti Ebola 

Ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa tetesi katika jamii na uchunguzi wa afya kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia mipaka, bandari na viwanja vya ndege.

Afya & Maisha · May 18, 2026 8:45 pm

Serikali ya Tanzania yatangaza tahadhari, Ebola ikisambaa DRC, Uganda

Serikali ya Tanzania imeimarisha ufuatiliaji wa wagonjwa wenye dalili zinazofanana na Ebola katika jamii na vituo vya kutolea huduma za afya nchini kote.

Afya & Maisha · May 15, 2026 10:26 am

Ufahamu ugonjwa wa hantavirus

Taarifa hiyo ya WHO ilithibitisha watu sita kutoka katika meli hiyo kuambukizwa ugonjwa huo huku watatu tayari wakiripotiwa kupoteza maisha.

Afya & Maisha · May 4, 2026 6:43 pm

Watatu wafariki katika mlipuko wa ‘hantavirus’ ndani ya meli ya kitalii

Aidha, mwanaume mwingine mwenye umri wa miaka 69 raia wa Uingereza anaendelea kupatiwa matibabu katika ICU huku hali yake ikielezwa kuwa mbaya.

Afya & Maisha · May 4, 2026 12:31 pm

Zifahamu dhana potovu za ulaji wa vyakula kwa mama mjamzito 

Pamoja na kuimarisha afya ya mama vyakula hivyo husaidia katika ukuaji wa ubongo, mifupa na mfumo wa kinga wa mtoto aliye tumboni.

Afya & Maisha · April 20, 2026 7:11 pm

Jinsi ya kuvumilia udhaifu wa mwenza wako katika ndoa

Nukta habari inakuletea mbinu saba zitakazokuwezesha kuvumilia  udhaifu wa mwenza wako katika ndoa.

Afya & Maisha · March 18, 2026 9:09 am

Vyakula vya kuepuka kujilinda na ugonjwa ya figo

Omega -3 ni mafuta ambayo yanapatika kwenye vyakula kama samaki wa bahari, 0mega-6 (alizeti) na omega-9 (mzaituni na  parachichi).

Afya & Maisha · February 24, 2026 5:50 pm

Sababu zinazoweza kuathiri uwezo wa mwanamke kupata ujauzito

Uwezo wa kushika mimba unategemea ushirikiano wa mifumo kadhaa ya mwili wa mwanamke pamoja na ubora wa mbegu za mwanaume.

Afya & Maisha · February 20, 2026 5:34 pm

Ufahamu wa ugonjwa wa kula kupita kiasi unaoathiri maelfu kimya kimya

Ugonjwa huo wa kula umegawanyika katika makundi mbalimbali ikiwemo ‘binge eating disorder’ na ‘bulimia nervosa’, ambayo yote yanahusisha ulaji kupita kiasi.

Afya & Maisha · February 17, 2026 5:51 pm

Hatari inayowakabili wanaotumia vilainishi kama mbadala wa kondomu Tanzania

Arusha. Kondomu ni miongoni mwa nyenzo muhimu zinazotumika kuwakinga watumiaji na mimba zisizotarajiwa na magonjwa ikiwemo ya ngono. Tangu kuanza kwa matumizi ya nyenzo hiyo mamilioni ya watumiaji wamekuwa wakikingwa na hatari mbalimbali za kiafya na kuwafanya waendelee kuwa na afya njema. Licha ya umuhimu wa nyenzo hiyo, takwimu za Wizara ya Afya zilizotolewa hivi […]

Afya & Maisha · February 16, 2026 3:43 pm

Nini hutokea kichwani unapokunywa pombe?

Safari ya madhara ya pombe huanza punde tu unapomeza fundo la kwanza kinywani, hufyonzwa kuingia kwenye damu na baadae kwenye ubongo.

Afya & Maisha · February 4, 2026 5:06 pm

Ugonjwa wa kipindupindu, kuharisha ulivyowatesa Watanzania mwaka 2025

Mbali na Kuharisha kipindupindu pia kiliwatesa Watanzania mwaka 2025, visa 3,433  na vifo 26, sawa na asilimia 78.8 ya vifo vyote vikiripotiwa.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Nukta TV

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Nukta TV

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Nukta TV