Unavyoweza kuchukua tahadhari dhidi ya Corona upotumia usafiri wa umma

December 21, 2021 2:22 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Muhimu ni kupata chanjo ili kuwa salama zaidi.
  • Endelea kuvaa barakoa hata ukiwa peke yako.
  • Chagua usafiri na usio na watu wengi.

Dar es Salaam. Tunapotumia usafiri wa umma, siyo rahisi kujua matatizo ya kiafya aliyonayo mtu kwa kumuangalia.

Wapo ambao wanaumwa lakini bado hawajui na kuna uwezekano mkubwa wa kuwaambukiza wengine wakati wanatumia daladala na mabasi hasa magonjwa ya yanayoambukiza kwa njia ya kugusana na hewa.

Ugonjwa wa Corona ni miongoni mwa magonjwa ambayo mtu anaweza kuambukizwa katika msongamano wa watu hasa kwa njia ya kugusana na maji maji yanayotokana na kukohoa au kupiga chafya.

Huenda ikawa ni ngumu kuchukua baadhi ya tahadhari ikiwemo kupeana nafasi ya mita moja katika baadhi ya maeneo hasa ya miji mikubwa.

Ufanye nini kuendelea kubaki salama? Tazama video hii.

                  

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
27 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
27 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV