Tahadhari za kuchukua mwisho wa mwaka

December 16, 2021 9:05 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Hakikisha unavaa barakoa na kunawa mikono.
  • Usimalize mwaka bila kupata chanjo dhidi ya Uviko-19.

Dar es Salaam. Nyimbo za mwisho wa mwaka zimeshaanza kusikika huku majengo mbalimbali yakipambwa kwa miti ya kijani na mapambo ya njano na rangi zingine za kupendeza.

Wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka, watu hutumia muda wao kuwatembelea ndugu, marafiki na wapendwa wao katika maeneo mbalimbali.

Tofauti na miaka ya nyuma, huenda sikukuu za mwaka huu zikasheherekewa kwa namna ya kipekee kwa sababu janga la Corona (Uviko-19) hivyo tahadhari ya mikusanyiko lazima izingatiwe ili kujiweka salama.

Ufanye nini kujiweka salama msimu huu? Unaweza kuanza kwa kutoa elimu ya ugonjwa huo kwa ndugu zako na hata kupata chanjo mapema.

Uzingatie nini kingine? Tazama video hii.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
27 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
27 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
27 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Nukta TV