Teknolojia
Teknolojia · September 12, 2026 10:17 am
Maajabu ya hii simu yapo kwenye kioo chake ambacho kina ukubwa wa inchi 5.4 ikiwa haijakunjuliwa na ukubwa wa inchi 7.6 ikiwa imekunjuliwa.
Teknolojia · September 11, 2026 2:33 pm
It is the only telecommunication company in Tanzania that recorded the highest gain of the market share in the quarter ending June 2026.
Teknolojia · September 10, 2026 10:09 am
Adam Kinyekile (47) ndiye alibuni mashine hiyo mwaka 2019 katika karakana ndogo eneo la Mpemba mkoani Songwe.
News · August 10, 2026 3:06 pm
Ripoti hiyo imeonesha kuwa pamoja na ukuaji wa matumizi ya intaneti, usajili wa laini za simu umefikia milioni 117.
Teknolojia · June 20, 2026 2:45 pm
Licha ya Tanzania kuwa na malengo ya uchumi wa Dola za Marekani trilioni moja unaoendeshwa na teknolojia, sekta ya tehama inachangia asilimia 1.5 tu ya GDP
Teknolojia · May 25, 2026 8:30 pm
Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kuimarisha mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) ili kutoa fursa kwa vijana kunufaika na uchumi wa kidigitali.
Tech · May 4, 2026 10:05 am
Takwimu hizo zinaonyesha kuwa hadi kufikia Desemba 2025 watumiaji wa intaneti walifikia milioni 58.1 kutoka watumiaji 56.3 waliokuwepo Septemba 2025.
Habari · April 24, 2026 3:48 pm
Nukta AI itasaidia upatikanaji wa taarifa na takwimu kama vile bei za hisa, viwango vya kubadili fedha na bei za mazao.
Teknolojia · March 26, 2026 4:51 pm
FinTech imekuwa mhimili mkubwa wa ujumuishaji wa kifedha, hasa kupitia huduma za fedha kwa njia ya simu zilizowafikia mamilioni ya watu barani Afrika.
Teknolojia · March 17, 2026 2:56 pm
Ni kuanzia Mei 8,2026, yasema huduma ya jumbe za kificho itaendelea kuwepo kwenye mitandao yake mingine ikiwemo Whatsapp.
Teknolojia · March 13, 2026 3:32 pm
Ushirikiano huo unaonesha dhamira ya dhati ya Vodacom katika kuendeleza ujumuishaji wa huduma za kifedha kwa njia za kidijitali na kuchochea uwekezaji.
Biashara · March 4, 2026 9:19 am
Husababisha kusimama kwa shughuli za kiuchumi, kuvuruga mawasiliano, hasara ya kifedha na huathiri elimu na huduma za afya.
News · February 19, 2026 3:14 pm
Kupitia mradi huo teknolojia ya AI itatumika kuchambua picha za kitabibu ili kuboresha ugunduzi wa mapema wa saratani na kuongeza usahihi katika uchunguzi.
Teknolojia · February 9, 2026 4:07 pm
Musk anaamini maisha nje ya dunia ni bima ya kumfanya binadamu kuendelea kuwepo hata kama ingekumbwa na majanga makubwa.
Biashara · February 5, 2026 3:43 pm
Kipengele hiko kinapatikana kwenye mataifa 70 duniani huku Mataifa ya Afrika yakiwa ni matano tu ambayo ni Misri, Kenya, Morocco, Nigeria na Afrika Kusini.