News
News · May 26, 2026 12:15 pm
Hatimaye mgomo wa vyombo vya usafiri ikiwemo daladala umesitishwa rasmi jijini Arusha baada ya Serikali kuahidi kushughulikia baadhi ya changamoto zilizokuwa zikilalamimikiwa.
News · May 25, 2026 11:18 pm
Amefariki dunia leo Mei 25, 2026 nyumbani kwake Chato, mkoani Geita baada ya kuugua muda mrefu.
News · May 25, 2026 5:18 pm
Mathalani, mwaka 2025 kulikuwa na ongezeko la asilimia 31 kutoka watuhumiwa 17,791 waliokamatwa hadi Aprili 2024 ambapo kati yao 13,045 waliondoshwa nchini na kurudishwa katika nchi zao
News · May 20, 2026 5:24 pm
Utekelezaji wa miradi hiyo pamoja na mingineyo uutatumia Sh2.4 trilioni katika mwaka wa fedha 2026/27.
News · May 19, 2026 4:10 pm
Sungura ameongeza kuwa awamu hii wametumia vivimetumika vigezo vya msingi takribani kumi katika kuchuja kazi 594 za waandishi walizozikisanya.
News · May 18, 2026 10:05 pm
Tume hiyo inaundwa baada ya takribani wiki tatu tangu tume ya kuchunguza matukio ya vurugu za wakati na baada ya uchaguzi mkuu
News · May 11, 2026 4:29 pm
Dar es Salaam. Idadi ya wananchi waliopata huduma za afya ya akili na msaada wa kisaikolojia na kijamii nchini imeongezeka kwa asilimia 89.3 katika kipindi cha miaka miwili, huku Serikali ikianika mikakati mipya ya kukabiliana na changamoto hiyo. Mohamed Mchengerwa, Waziri wa Wizara ya Afya aliyekuwa akiwasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo […]
News · May 6, 2026 1:28 pm
Kupanda huko kwa mafuta kumepunguza karibu lita 1.06 ya petroli kutoka kiwango kilichokuwa kikipatikana mwezi uliopita.
News · May 4, 2026 3:27 pm
Wizara pia imejipanga kuratibu na kusimamia matamasha, shughuli na matukio makubwa ya kitaifa na kimataifa yanayohusiana na habari, utamaduni, sanaa na michezo.
News · May 2, 2026 1:42 pm
Katika ziara hiyo, Rais Kagame atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Tanzania Samia Suluhu Hassan. Mazungumzo yao yataangazia masuala ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili
News · May 1, 2026 3:49 pm
Ili kuendelea kufungua fursa nyingi zaidi za ajira nje ya nchi Rais Samia amesema Serikali yake itaendelea kuratibu fursa hizo ili zilete tija kwa vijana.
News · April 30, 2026 4:08 pm
“Uchumi wa habari unapokuwa mdogo unawapa nafasi wanasiasa uchwara na wala rushwa kuwatia mfukoni,” amesema Makonda.
News · April 28, 2026 4:21 pm
Hata hivyo, amesisitiza kuwa tume haitakimbilia hatua za kuwawajibisha watu bila kuwapa nafasi ya kusikilizwa, kwa kuzingatia kanuni za haki asilia.
News · April 28, 2026 4:06 pm
Kwa wiki kadhaa sasa, kumekuwa na mjadala mkali mtandaoni kufuatia kusambaa kwa video zinazoonesha watu wanaodaiwa kuwa raia wa Afrika kusini wakiwashambulia raia wa kigeni jambo lililozua hofu na taharuki.
News · April 27, 2026 4:09 pm
Kwa mwaka wa fedha 2025/2026, wizara hiyo iliidhinishiwa jumla ya Sh124.6 bilioni sawa na asilimia 55.38 ya bajeti yote kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ikiwemo zinazotekelezwa na GST.