News
News · September 1, 2026 2:07 pm
Desemba 12, 2024, Nukta Habari ilichapisha makala maalum iliyoelezea uhaba wa watalaamu wa ganzi na usingizi.
News · August 31, 2026 3:59 pm
Sheria ya Ardhi, Sura ya 113, inaeleza wawekezaji raia wa kigeni hupata ardhi kwa ajili ya uwekezaji kupitia utaratibu maalumu unaotambuliwa kisheria.
News · August 28, 2026 1:13 pm
Ndejembi amepata kura 324 kati ya ya kura 324 za wabunge zilizopigwa, sawa na asilimia 100 ya kura zote.
News · August 22, 2026 4:20 pm
Baada ya Ujerumani kushindwa vita na Waingereza kuchukua utawala wa Tanganyika, wazo la kutumia Mto Rufiji kwa maendeleo liliendelea kufanyiwa tafiti
News · August 21, 2026 6:19 pm
Kamanda Lutumo amesema, chanzo cha kifo cha Chisumo bado hakijathibitishwa, kutokana na kuendelea kwa uchunguzi wa kitabibu.
News · August 19, 2026 6:15 pm
Ahadi hiyo ilipokelewa kwa shangwe na Wananchi waliokuwa katika eneo hilo kuanzia saa nne asubuhi wakisubiri ujio wa mkuu wa mkoa.
News · August 19, 2026 9:06 am
Baadhi ya Wananchi wametoa maoni mseto kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, lililozitaka shughuli za mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani kuhamia katika stendi kuu ya mabasi ya Magufuli.
News · August 13, 2026 6:03 pm
Afisa Maendeleo ya Biashara wa Nukta Africa, amesema ushirikiano huo utasaidia kampuni kuendeleza bidhaa zake.
News · August 10, 2026 3:06 pm
Ripoti hiyo imeonesha kuwa pamoja na ukuaji wa matumizi ya intaneti, usajili wa laini za simu umefikia milioni 117.
News · August 7, 2026 1:19 pm
Tume hiyo imepewa muda wa siku 150 kukamilisha uchunguzi wake na kuwasilisha ripoti kwa Rais.
Biashara · August 3, 2026 4:44 pm
If you are yet to register here are some key reasons why you should attend the two events at Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair Grounds in Dar es Salaam from 2nd to 3rd September, 2026.
News · August 3, 2026 4:13 pm
Sekta binafsi inatarajiwa kuchangia takribani asilimia 70 ya utekelezaji wa malengo ya dira hiyo.
News · July 30, 2026 12:03 pm
Wakati Pemba ikiwa na ATM nane pekee, Dar es Salaam inaendelea kuwa kitovu cha huduma za ATM nchini.
News · July 28, 2026 5:05 pm
Kwa mujibu wa Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Eliud Eliakimu ugonjwa huo husababishwa na aina tano za virusi aina A, B, C, D na E.
News · July 20, 2026 2:50 pm
Mpaka sasa, vipande viwili vya Dar es Salaam–Morogoro na Morogoro–Makutupora tayari vinatoa huduma, huku vingine vikiendelea na ujenzi