Necta yatangaza matokeo ya darasa la saba 2026, ufaulu wapaa kwa asilimia 3.4

November 3, 2026 12:01 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani ya darasa la saba kwa mwaka 2026 huku ufaulu wa jumla ukiongezeka kwa asilimia 3.4 kulinganisha na mwaka 2025.

Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa leo Novemba 3, 2026 na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Saidi Mohamed, jumla ya watahiniwa 970,876 kati ya 1,139,273 wenye matokeo wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.

Hii ina maana kuwa takribani wanafunzi 85 kati ya kila 100 waliofanya mtihani na kuwa na matokeo wamefaulu.

Bofya hapa kutizama matokeo ya darasa la saba 2026

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Nov, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Nov, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
DC Mpogolo: Marufuku kufanya biashara za mapishi, moto Buguruni Darajani.

DC Mpogolo: Marufuku kufanya biashara za mapishi, moto Buguruni Darajani.

Nukta TV

CHADEMA: Hakuna mazungumzo tutakayofanya hadi Tundu Lissu aachiwe huru

CHADEMA: Hakuna mazungumzo tutakayofanya hadi Tundu Lissu aachiwe huru

Nukta TV

Je, maridhiano ni sharti la lazima, kabla ya mchakato wa Katiba mpya?

Je, maridhiano ni sharti la lazima, kabla ya mchakato wa Katiba mpya?

Nukta TV