Jiko Point
All
Afya Na Maisha
Biashara
Mapishi
Matukio
Maujanja
Nishati Safi
Vinywaji

Vinywaji · December 24, 2025 5:23 pm

Vinywaji vitano vya bei nafuu vya kutengeneza msimu huu wa sikukuu

Juisi hizi zinaweza kukusaidia kubana bajeti ya vinywaji msimu huu wa sikukuu

Vinywaji · August 26, 2025 5:38 pm

Juisi ya karoti na ndizi

Sasa katika orodha yako ya aina ya juisi ulizowahi kunywa ongeza na juisi ya karoti na ndizi itakayokuburudisha huku ikikupa faida lukuki.

Afya na Maisha · August 14, 2025 9:25 pm

Jinsi ya kutengeneza juisi ya nanasi na tango

Ukiachana na ladha ya kinywaji hiki kinachofurahisha koo hutumiwa pia kuondoa sumu mwilini (detox).

Vinywaji · May 15, 2025 5:53 pm

Jinsi ya kutengeneza juisi ya peasi

Juisi hii ni nzuri kwa watu wenye changamoto za afya ikiwemo  kudhibiti kiwango cha sukari mwilini.

Vinywaji · April 11, 2025 4:15 pm

Jinsi ya kutengeneza juisi ya nazi na nanasi

Unaweza kuweka tangawizi au limao kuongeza ladha zaidi katika juisi.

Vinywaji · March 11, 2025 4:31 pm

Jinsi ya kuandaa uji wa tende na maziwa

uji wa ulezi wenye  tende na maziwa umesheheni virutubisho vingi ambavyo vitauimarisha mwili wako vikiliandaa tumbo kupokea futari nzito iliyoandaliwa.

Vinywaji · February 10, 2025 1:29 pm

Jinsi ya kuandaa chai ya asali, limao na tangawizi

Ikiwa unatafuta kinywaji kuongeza joto, kilichojaa faida za kiafya na ladha ya kipekee, basi chai ya tangawizi na asali pamoja na limao ni chaguo bora kwa ajili yako.  Tovuti ya masuala ya afya ya  Healthline inabainisha kuwa unywaji wa kinywaji hiki husaidia mmeng’enyo wa chakula, kusafisha utumbo, kuongeza joto mwilini, kupunguza shinikizo la damu,kutibu magonjwa […]

Vinywaji · January 6, 2025 3:45 pm

Unavyoweza kuandaa mojito ya komamanga

Ni chanzo cha nyuzinyuzi, vitamini, na madini muhimu ambavyo husaidia kuimarisha mwili.

Vinywaji · December 26, 2024 10:02 am

Vinywaji 6 unavyoweza kuandaa nyumbani msimu wa sikukuu

Kuna aina nyingi ya vinywaji unavyoweza kuandaa kwa urahisi nyumbani ikiwemo mojito ya tikiti maji.

Vinywaji · December 23, 2024 4:50 pm

Jinsi ya kutengeneza Mocktail ya Blue Ocean

Kinywaji hiki ambacho hakitengenezwi na aina yoyote ya pombe huvutia wengi kutokana na rangi yake ya kuvutia inayotokana na shira ya Blue Curaçao.

Vinywaji · December 20, 2024 5:52 pm

Jinsi ya Kutengeneza Cocktail ya Blue Lagoon

Blue Lagoon ni  mojawapo ya cocktail zinazopendwa zaidi duniani, ikiwa na sifa adimu ikiwemo rangi samawati angavu inayofanana na bahari safi pamoja na mchanganyiko wa barafu ambao huburudusha wanywaji wake.

Vinywaji · December 4, 2024 12:28 pm

Hatua kwa hatua utengenezaji wa juisi ya parachichi na nazi

Husaidia kudhibiti shinikizo la damu na kufanya mapigo ya moyo kuwa ya kawaida.

Vinywaji · November 25, 2024 6:13 pm

Jinsi ya kuandaa juisi ya ‘Strawberry’, embe na nanasi

Juisi hii ni chanzo cha vitamini na madini katika mwili.

Vinywaji · October 30, 2024 4:13 pm

 Faida, jinsi ya kuandaa juisi ya papai na ndizi

Kwa wale wanaosumbuliwa na matatizo ya choo kigumu, wagonjwa au watoto wanaoanza kujifunza kula juisi hii ndio yenyewe.

Vinywaji · October 7, 2024 10:02 am

Jinsi ya kutengeneza ‘cappuccino’ nyumbani

Ili kuandaa kinywaji hiki utahitaji kahawa iliyosagwa (instant coffee) maziwa, sukari pamoja na maji safi.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴LIVE: HII HAPA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026/2027

🔴LIVE: HII HAPA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026/2027

Nukta TV

Mashine za kukaushia rangi za kucha kutozwa ushuru kwa asilimia 10

Mashine za kukaushia rangi za kucha kutozwa ushuru kwa asilimia 10

Nukta TV

Wazee wa 'kubet' hii inawahusu, 5% kutozwa kwenye dau la kamari

Wazee wa 'kubet' hii inawahusu, 5% kutozwa kwenye dau la kamari

Nukta TV