Biashara

Biashara · July 3, 2026 1:09 pm

Juu zaidi: BoT yapandisha riba ya benki kuu hadi 6.25%

Kiwango kipya kilichopangwa na MPC ni cha juu tangu mfumo mpya wa kudhibiti mfumuko wa bei uanze kutumika zaidi ya miaka miwili iliyopita.

Biashara · July 1, 2026 7:13 am

Ahueni bei ya petroli, dizeli mafuta ya taa ikishuka

Bei za mafuta katika soko la hapa nchini zinashuka kwa Shilingi 96 kwa lita ya petroli, Shilingi 151 kwa lita ya dizeli na Shilingi 242 kwa lita ya mafuta ya taa

Biashara · June 30, 2026 4:38 pm

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuchukua mkopo 

Angalia hali ya kipato chako, usikope kufanya anasa, nidhamu ya fedha ni muhimu. Mkopo wenye riba nafuu na unaorejeshwa kwa muda mrefu ndio rafiki.

Biashara · June 29, 2026 2:35 pm

Sarafu 5 zenye nguvu zaidi duniani

Ukiwa na kiasi kidogo cha sarafu hizo unaweza kupata Dola nyingi zaidi. 

Biashara · June 27, 2026 1:04 pm

Matumizi ya Dola miamala ya ndani yanavyoweza kuathiri uchumi wa Tanzania

Matumizi yakizidi hudhoofisha nguvu ya ununuzi kwa shilingi na kuchochea mfumuko wa bei katika uchumi wa nchi

Biashara · June 19, 2026 6:02 pm

Michelle Kilpin wa TBL achaguliwa Bodi ya AmCham Tanzania

AmCham Tanzania ni chama cha wafanyabiashara na wawekezaji kinacholenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Marekani.

Biashara · June 11, 2026 5:19 pm

Serikali yapendekeza kodi mpya kwenye kamari Tanzania

Pendekezo hilo jipya linatarajia kuingiza Sh74.5 bilioni kwenye kibubu cha Serikali mwaka 2026/27.

Biashara · June 11, 2026 8:00 am

Inside Yas Business push to accelerate IoT in Tanzania

IoT is a digital technology that connects electronic devices through the internet, enabling them to communicate, collect information and take action in real time.

Biashara · June 10, 2026 6:23 pm

NMB kugawanya hisa 1 kuwa 10 kuchochea uwekezaji sokoni

Hii ina maanisha kuwa hisa moja ya NMB ya sasa itakuwa ni sawa na hisa 10 huku bei ya hisa moja ikipungua kwa uwiano huo huo. 

Biashara · June 10, 2026 5:27 pm

Wanahisa NMB wagawana Sh305.08 bilioni za faida

Gawio la faida la NMB kwa hisa limeongezeka kwa asilimia 217.8% ndani ya miaka mitano tangu lilipokuwa Sh193 mwaka 2021.

Biashara · June 10, 2026 8:19 am

Safari ya Yas Business kukuza matumizi ya IoT Tanzania

IoT ni huduma ya kidijitali inayounganisha vifaa vya kielektroniki kupitia intaneti na kuviwezesha kuwasiliana, kukusanya taarifa na kuchukua hatua kwa papo hapo

Biashara · June 9, 2026 4:57 pm

BoT yazindua EMS kuimarisha ushindani na uwazi kwenye soko la dola Tanzania

Ni mfumo unaotajariwa kupunguza ucheleweshaji wa miamala na tofauti za viwango vya ubadilishaji kati ya taasisi mbalimbali za fedha.

Biashara · June 9, 2026 4:00 pm

Mfumuko wa bei wafikia asilimia 4.2 Tanzania

Kiwango cha mfumko wa bei cha Mei 2026 ndio kiwango cha juu zaidi kwa miaka mitatu iliyopita.

Biashara · June 8, 2026 4:15 pm

M- Pesa, Paypal ilivyotegua kitendawili cha miamala ya kimataifa Tanzania

Watanzania sasa wataweza kuweka fedha kwenye akaunti zao za PayPal na kutoa fedha kutoka PayPal moja kwa moja kwenda M-Pesa.

Biashara · June 3, 2026 1:31 am

Bei mpya za mafuta Juni hizi hapa, dizeli yapaa kwa Sh85

Ni maumivu juu ya maumivu kwa watumiaji wa vyombo vya moto vinavyotumia dizeli baada ya bei ya nishati hiyo kupaa kwa Sh85 mwezi Juni.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV