Bei ya ngano kitendawili mkoani Lindi
October 11, 2024 4:19 pm ·
Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
Kununua gunia la ngano la kilo 100 mkoani Lindi itakulazimu kulipa Sh400,000 ikiwa ndiyo bei ya juu zaidi kurekodiwa nchini Octoba 11,2024 ambayo ni sawa na bei iliyorekodiwa Septemba 2, mwaka huu.
Bei hiyo ni mara tano zaidi ya ile iliyotumika mkoani Rukwa ya Sh70,000 kwa gunia la kilo 100 la bidhaa hiyo muhimu katika kuandaa vitafunwa vinavyotumika katika maisha ya watu kila siku.
Wakati Lindi wakilia na ngano, wakazi wa Ruvuma na Iringa kwao ni vicheko baada ya gunia la kilo 100 la mahindi kuuzwa kwa bei ya chini ya Sh48,000 ambayo ni mara 20 zaidi ya bei ya juu iliyorekodiwa mkoani Dar es Salaam, Kilimanjaro na Pwani.
Latest
14 hours ago
·
Lucy Samson
Sababu Mbowe kugombea tena uenyekiti Chadema
16 hours ago
·
Lucy Samson
Mbowe kugombea tena uenyekiti Chadema
1 day ago
·
Davis Matambo
Majaliwa akabidhi nyumba 109 kwa waathirika wa mafuriko Hanang
2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Disemba 20,2024