Bei ya ngano bado haishikiki mkoani Lindi
September 2, 2024 6:18 pm ·
Bacley Madyane

Bei ya ngano Lindi ni mara sita zaidi ya ile iliyotumika mkoani Rukwa ya Sh65,000 kwa gunia la kilo 100 la bidhaa hiyo muhimu katika kuandaa vitafunwa kama maandazi, chapati na mikate.
Wakati Lindi wakilia na ngano, wakazi wa Dar es Salaam wanaendelea kuvunja vibubu baada ya gunia la kilo 100 la maharage kuuzwa kwa bei ya juu katika jiji la Dar es Salaam kwa Sh390,000, zaidi ya mara mbili ya bei ya chini iliyorekodiwa Arusha ambayo ni Sh160,000.
Latest
12 hours ago
·
Lucy Samson
TMA: Mvua kubwa kunyesha kesho katika mikoa mitano
17 hours ago
·
Lucy Samson
Jenista Mhagama afariki dunia
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Jeshi la Polisi: Hali ya usalama ni shwari Tanzania
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Desemba 10, 2025